Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee.

Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
 
Unazungumzia mwaka huu au ile ya 23%
 
Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee.

Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
ulitaka iweje kwa mfano.
maana 1995 mkapa alisema taasisi za serikali walipane kulingana na tija, na hadi 2022walikua wanafanya hivo tofauti na serikali kuu na serikali za mitaa
 
Sorry naomba kuuliza
Najua taasisi za serikali ni kama TRA, DAWASA, TANAPA, n.k

Je ni sekta gan/vitengo gani/taasisi gani zpo chn ya serikali kuu?

Je ni sekta/vtengo/taasisi gani zpo chin ya local government?
 
Kuna baadhi ya taasisi zinazojitegemea kwa mfano VETA walikuwa wanaonea sana watu. Mtumishi mwenye masters na uzoefu miaka 20+ alikuwa analipwa sawa na diploma mwenye miaka miwili kazini. Baada ya kuingizwa kwenye payroll na kuanza kupandishiwa mishahara, wengine imepata sana hata 500% inawezekana.
Sasa hii ni upendeleo? hapana! Hawa watu walionewa sana.
 
Sorry naomba kuuliza
Najua taasisi za serikali ni kama TRA, DAWASA, TANAPA, n.k

Je ni sekta gan/vitengo gani/taasisi gani zpo chn ya serikali kuu?

Je ni sekta/vtengo/taasisi gani zpo chin ya local government?
Taasisi zote ambazo hazilipwi na hazina na hazipati subsidy ya serikali zinajilipa zenyewe.
local govnt:shule,mahospital nk
 
Back
Top Bottom