Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
ulitaka iweje kwa mfano.Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee.
Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
Sorry naomba kuulizaulitaka iweje kwa mfano.
maana 1995 mkapa alisema taasisi za serikali walipane kulingana na tija, na hadi 2022walikua wanafanya hivo tofauti na serikali kuu na serikali za mitaa
Taasisi zote ambazo hazilipwi na hazina na hazipati subsidy ya serikali zinajilipa zenyewe.Sorry naomba kuuliza
Najua taasisi za serikali ni kama TRA, DAWASA, TANAPA, n.k
Je ni sekta gan/vitengo gani/taasisi gani zpo chn ya serikali kuu?
Je ni sekta/vtengo/taasisi gani zpo chin ya local government?
Unahusu malalamiko yako ya kupewa 2.3% kama nyongeza ya mshahara huku wenzako wamepewa 100%Hivi huu uzi unahusu nini?