Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Amna lolote mashauzi tu
Kweli kabisa. Tatizo mna tabia chafu za kuendekeza zinaa, wizi na ulevi. Ndio maana mkiingia Zanzibar mnapenda kuziendeleza tabia za kishenzi. Sasa mnajikuta hampati kufanya hivyo kwa uhuru ndani ya Zanzibar ndipo mnasema Wazanzibar wabinafsi.
 
Kweli kabisa. Tatizo mna tabia chafu za kuendekeza zinaa, wizi na ulevi. Ndio maana mkiingia Zanzibar mnapenda kuziendeleza tabia za kishenzi. Sasa mnajikuta hampati kufanya hivyo kwa uhuru ndani ya Zanzibar ndipo mnasema Wazanzibar wabinafsi.
Haya hongereni znz kwa tabia nzuri na nidhamu
 
Nimeiona yaliyoandikwa Katika hii link
Muandishi ametoa mifano Mingi ya lugha ya Kibantu ambayo imefana na lugha ya Kiswahili

Conclusion yake ni kuwa Kiswahili ni Kibantu kwa sababu kuna Mambo mengi Katika lugha ya Kiswahili yamefanana na lugha za Kibantu..

Sasa,kila lugha lazima iwe na Kabila Lake,..

mfano kihaya na Wahaya,Kiruguru na Waruguru.. nk

Kiswahili hakina Kabila, Kiswahili kinazungumzwa na kila Kabila

kwa mantiki hiyo naweza kusema kuwa Kiswahili ni lugha iliyoiga mfumo wa lugha za Kibantu..

Lugha ya kiswahili ni lugha ya Watu wa pwani ya Afrika Mashariki

mchanganyiko wa makabila mbali mbali ya ndani na ya nje ya Afrika yameunda Utamaduni wa Mswahili pamoja na Lugha yake

Kiswahili sio Kibantu, Kiswahili ni lugha inayojitegemea Wenyewe

Kiswahili kimeiga mfumo wa lugha za Kibantu kwasababu wazungumzaji wengi wa Kiswahili ni wabantu
 
Ha ha ha ha ha ha ila watu wa huko wastaarabu sana!
 
Hahahaha we mama umelewa buzaa nini? Wikipedia iko wapi hapo?
 
Amekikuta ndio, ndio akalazimisha Watanzania wote wajifunze kiswahili, by then Tanganyika walikuwa wanaongea lugha za makabila yao. Kama unesoma kwenye historia ya kugha kiswahili kimeanzia katika mwambao wa afrika mashariki
Kumbe kakikuta kama waarabu walivyokikuta.
 
Ally ni jina la kiarabu kinalopatika kwenye Qur an, Jina la Swahaba Ally. Sisi hatuchanganyi ‘L’ na R mkuu hata kwa bahati mbaya. Hakuna mzanzibar hata mmoja Ally anatamka Ariii. Labda mzanzibara huyo.
Wapo wa zanzibar wengi tu wana hilo tatizo, wengi tu nimewasikia.
 
Wewe ndio umekwama sababu nimekuonesha namna kiarabu si chochote kwenye kiswahili matokeo yake umesingizia sijui simu sijui app hueleweki!
 
Wewe ndio umekwama sababu nimekuonesha namna kiarabu si chochote kwenye kiswahili matokeo yake umesingizia sijui simu sijui app hueleweki!
Narudia tena weka maneno ya kiswahili, weka misamiati ya lugha nyingine za kibantu tuangalie mfanano ya lugha ya kiarabu tuone katika hayo maneno yatashabihiana na lugha zipi kati ya kibantu na kiarabu.
 
Kiswahili ni kibantu sababu moja kuu ni kwamba zaidi ya asilimia 90 ya msamiati wake ni kibantu

Baraza la Kiswahili Tanzania lenye mandatory na hii lugha na machapisho yote ya Utafiti kwa wasomi wa vyuo vikubwa duniani kama Oxford mpaka Mlimani wametoa conclusions kwamba kiswahili ni kibantu wewe ni nani unapinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…