grizzman
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 225
- 407
Amna lolote mashauzi tuKatika kuhifadhi mila, desturi na tamaduni zetu. Ndio. Na ndio maana wewe kwa mujibu wa desturi zenu, mila na tamaduni zenu mnaona sio sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna lolote mashauzi tuKatika kuhifadhi mila, desturi na tamaduni zetu. Ndio. Na ndio maana wewe kwa mujibu wa desturi zenu, mila na tamaduni zenu mnaona sio sawa.
Nilikupa option rahisi sana. Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au litashabihiana na kiarabu, lakini naona hutaki. Sijui umekwama wapi.Ubantu wa Kiswahili – KiswahiliPedia
www.kiswahilipedia.org
Kweli kabisa. Tatizo mna tabia chafu za kuendekeza zinaa, wizi na ulevi. Ndio maana mkiingia Zanzibar mnapenda kuziendeleza tabia za kishenzi. Sasa mnajikuta hampati kufanya hivyo kwa uhuru ndani ya Zanzibar ndipo mnasema Wazanzibar wabinafsi.Amna lolote mashauzi tu
Haya hongereni znz kwa tabia nzuri na nidhamuKweli kabisa. Tatizo mna tabia chafu za kuendekeza zinaa, wizi na ulevi. Ndio maana mkiingia Zanzibar mnapenda kuziendeleza tabia za kishenzi. Sasa mnajikuta hampati kufanya hivyo kwa uhuru ndani ya Zanzibar ndipo mnasema Wazanzibar wabinafsi.
Nimeiona yaliyoandikwa Katika hii linkUbantu wa Kiswahili – KiswahiliPedia
www.kiswahilipedia.org
Amna lolote mashauzi tu
Ni kwel.wanazingua sana haoChuki [emoji2960][emoji1312]
Haya hongereni znz kwa tabia nzuri na nidhamu
Mfano ni wwKuna waliokuja zanzibar kutoka tanganyika na mini dresses [emoji156], ila kwa sasa wanavaa baibui na hijaabu juu. Masha Allah
Mfano ni ww
HongeraNaam
Hahahaha we mama umelewa buzaa nini? Wikipedia iko wapi hapo?Sisi tunaongelea ndizi kumbe we unaongelea utumbo, mwalimu wako kipofu! Tatizo mnapenda kuamini sana kwa kitu ambacho ni cha kutengeneza. Hata mimi naweza kuandaa taarifa yangu na kuilisha kwenye wikipedia. Tatizo mnaamini sana Wikipedia bila kujua hata huyo alieandaa hiyo taarifa na kuiweka humo ni binaadamu kama wewe!
Kumbe kakikuta kama waarabu walivyokikuta.Amekikuta ndio, ndio akalazimisha Watanzania wote wajifunze kiswahili, by then Tanganyika walikuwa wanaongea lugha za makabila yao. Kama unesoma kwenye historia ya kugha kiswahili kimeanzia katika mwambao wa afrika mashariki
Nimesema maneno kutoka Arabic hayafiki 10% ya msamiati wote wa kiswahili.habari ni neno la kiarabu
Wapo wa zanzibar wengi tu wana hilo tatizo, wengi tu nimewasikia.Ally ni jina la kiarabu kinalopatika kwenye Qur an, Jina la Swahaba Ally. Sisi hatuchanganyi ‘L’ na R mkuu hata kwa bahati mbaya. Hakuna mzanzibar hata mmoja Ally anatamka Ariii. Labda mzanzibara huyo.
Wazee wa mama zakia panua paja mti wajaa
Wewe ndio umekwama sababu nimekuonesha namna kiarabu si chochote kwenye kiswahili matokeo yake umesingizia sijui simu sijui app hueleweki!Nilikupa option rahisi sana. Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au litashabihiana na kiarabu, lakini naona hutaki. Sijui umekwama wapi.
Narudia tena weka maneno ya kiswahili, weka misamiati ya lugha nyingine za kibantu tuangalie mfanano ya lugha ya kiarabu tuone katika hayo maneno yatashabihiana na lugha zipi kati ya kibantu na kiarabu.Wewe ndio umekwama sababu nimekuonesha namna kiarabu si chochote kwenye kiswahili matokeo yake umesingizia sijui simu sijui app hueleweki!
Kiswahili ni kibantu sababu moja kuu ni kwamba zaidi ya asilimia 90 ya msamiati wake ni kibantuNimeiona yaliyoandikwa Katika hii link
Muandishi ametoa mifano Mingi ya lugha ya Kibantu ambayo imefana na lugha ya Kiswahili
Conclusion yake ni kuwa Kiswahili ni Kibantu kwa sababu kuna Mambo mengi Katika lugha ya Kiswahili yamefanana na lugha za Kibantu..
Sasa,kila lugha lazima iwe na Kabila Lake,..
mfano kihaya na Wahaya,Kiruguru na Waruguru.. nk
Kiswahili hakina Kabila, Kiswahili kinazungumzwa na kila Kabila
kwa mantiki hiyo naweza kusema kuwa Kiswahili ni lugha iliyoiga mfumo wa lugha za Kibantu..
Lugha ya kiswahili ni lugha ya Watu wa pwani ya Afrika Mashariki
mchanganyiko wa makabila mbali mbali ya ndani na ya nje ya Afrika yameunda Utamaduni wa Mswahili pamoja na Lugha yake
Kiswahili sio Kibantu, Kiswahili ni lugha inayojitegemea Wenyewe
Kiswahili kimeiga mfumo wa lugha za Kibantu kwasababu wazungumzaji wengi wa Kiswahili ni wabantu