Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Kiswahili hakina sentence patterns kama kiarabu.
 
Umenikumbusha kingine, kiarabu kina pronunciations tofauti na kiswahili, mnaongelea kwenye koromeo na puani tofauti kabisa na wa bantu, huo utaratibu hatuna.
 
Kiswahili hakina sentence patterns kama kiarabu.
Kuanzia kushoto ama kulia sio tatizo. Linapokuja suala la tafsiri ndio tunapoangalia. Pia hakuna direct translation ya Koswahili kwa English lakini Kiarabu kwa Kiswahili kuna direct translation.
 
Kuanzia kushoto ama kulia sio tatizo. Linapokuja suala la tafsiri ndio tunapoangalia. Pia hakuna direct translation ya Koswahili kwa English lakini Kiarabu kwa Kiswahili kuna direct translation.
Unajua maana ya direct translation? Aliekuambia haipo ya English nani?
 
Umenikumbusha kingine, kiarabu kina pronunciations tofauti na kiswahili, mnaongelea kwenye koromeo na puani tofauti kabisa na wa bantu, huo utaratibu hatuna.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku unakoelekea, nahisi mwishowe utasema "Waarabu wakiongea wanatoa upepo masikioni" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Tulianzia mbali sana, nakumbuka tulianzia na jina Ali/Ally. Mkazusha kwamba Wazanzibari wanaita Arii. Tukasema hao wanaoongea hivyo sio wazawa.
Lakini bado mnaendelea na kuzusha hoja zisizo na msingi na kadri muda unavyokwenda unazidi kuzusha mengine!!
Nakupa hii Task.
Nenda posta pale kwenye mnara wa Askari kaangalie direct Swahili iliyoandikwa kwa Kiarabu. Then ndio uje tena hapa uendelee kuzusha.
Maneno yote ya Kiswahili yanaandikika kwa Kiarabu direct. Mifano
Mama مم
Baba بب
Kaka كك
Dada دد
Na mengi mengineyo.
Je unaweza kuandika maneno hayo kwa lugha nyingine za kibantu!?
NB
Hakuna lugha yoyote ya kibantu inayomiliki Alphabet zake na inayoweza kuandikika labda ni kwa baadhi ya maneno tena machache tu. Nitafutie kwenye makabila yote ya Tanzania.
Tchao!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
kwa hiyo shaqiq na ukht ni kiswahili hicho?
 
Baba anakwenda sokoni
بب انكيند سكوني
Unaweza kuiandika hii?!
Baba kwa kiarabu ni alab (Hakuna hata mfano na Baba, bora hata Papa kwa French au hata Dad kwa English)

Mama kwa kiarabu ni um (Hakuna hata uhusiano na Mama, bora hata Mum kwa English au hata mama kwa French)

Kiarabu sio kiswahili bro ni kibantu
 
Ndio maana ukaambiwa kiswahili ni kiarabu, umeshindwa kujua maana yake kwa lugha zako za kibantu?!
Hahahaha eti kaka ni shaqiq na Dada ni ukht halafu unasema hii ni lugha moja, kivipi sasa? Mbona mfanano wa hayo maneno ni usiku na mchana?
 
Hahaha mmenikumbusha mzanzibar mmoja nilisome naye Alevel.Mfereji,skuli na hanidhi pale anapotaka kukutukana hayo maneno alikuwa akiyapenda sana kutumia.

Nilipojiunga JF mara ya kwanza nilikuwa napost picha kila siku
 
Baba kwa kiarabu ni alab (Hakuna hata mfano na Baba, bora hata Papa kwa French au hata Dad kwa English)

Mama kwa kiarabu ni um (Hakuna hata uhusiano na Mama, bora hata Mum kwa English au hata mama kwa French)

Kiarabu sio kiswahili bro ni kibantu
Kwahiyo nikisema baba yangu ndio inakuwaje kwa kiarabu?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hahahaha eti kaka ni shaqiq na Dada ni ukht halafu unasema hii ni lugha moja, kivipi sasa? Mbona mfanano wa hayo maneno ni usiku na mchana?
Kiswahili ni Kiarabu. Kiswahili kinaandikika kwa dialect ya kiarabu bila wasi. Ila huwezi kukiandika kiswahili kwa dialect ya English hata siku moja na ndio maana nimekupa mfano ulio hai. Umekuwa na utopolo wako mi nakicheki tu na translator yako ya google. Ikiwa baba ni Alab, je nikisema baba yangu?
 
Kwahiyo nikisema baba yangu ndio inakuwaje kwa kiarabu?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
Usiku na mchana kabisa, hicho ni kichina
 
Dialect tena? 🤔

Unajua maana ya dialect kweli we mwarabu?
 
Narudia tena
Maliza maneno yote, nimekupa mfano hai umebaki kung'aang'aa macho tu! Tafuta elimu kijana.
Ukisema baba ni alab je nikisema baba yangu?
 
Usiku na mchana kabisa, hicho ni kichina
Baba kwa kiarabu ni Al-ab. Na nikisema baba yangu inakuwa Abiiy.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
In shona ni baba hivyo hivyo, wala huna haja ya kuongeza al na bado haiwi baba
 
Dialect tena? [emoji848]

Unajua maana ya dialect kweli we mwarabu?
Maneno yote ya kiswahili yanaandikika kwa 100% kwa Arabic dialect bila kukwama hata neno moja wakati kwa English hayawezi kuandikika. Kswahili ni kiarabu shekhe!
نون اننغانغا مش ت حف. تفت الم كجنا كصحل ن كارب. حي اكل نكب شغو ككبل ام ككتا. ن جو يكو
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…