Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Hata kama ukisikia haimanishi tafsiri ndio sawa kama ilivyo kwenye kiswahili.
OK sasa angalia mwenyewe hapa kati ya kiswahili na kishona + kibajuni (vibantu) kilivyoendana then linganisha na kiarabu
EdYBSqnXkAEFfUc.jpg
 
LOL kwani mwambao ni uarabuni? Mwambao sio kwa wabantu?
Narudia tena, Kiswahili ni lugha iliyozaliwa maeneo ya mwambao na imeundwa na misamiati ya kiarabu kwa asilimia kubwa, licha ya kuwepo na misamiati ya Kireno, Kihindi na Kibantu.
 
Endelea kugoogle.
Kiswahili ni kiarabu.
Hahahaha naona mdogo mdogo na wewe unaanza kukiri kiswahili kina kibantu, hongera zako
 
Tafuta post yangu juu huko. Nilipoanza kuandika ndivyo niliandika na ndio kama nilivyoandika hapa. Kiswahili ni Kiarabu kwa asilimia kubwa, hiyo misamiati ya lugha nyingine kama kireno na kihindi na lugha za kibantu ni michache sana. Huwa sinaga tabia ya kubadilisha kauli. Nakutafutia post yangu niliyoanza kuandika.
 
Hahahaha kitakua kiarabu hiyo siku nitamuelewa muarabu kama ninavyomuelewa Mswahili otherwise acha uendelee kuota ndoto za mchana.
 
Screenshot_20201106-112037~2.png
 
Nani anaota? Huijui historia ya Zanzibar. Fika Zanzibar ukajionee maeneo ya Kihisitoria, bila kusahau maeneovya kihistoria katika kisiwa cha Pemba ukajionee pamoja na kusoma lugha ya kiswahili. Sio mnakaa na kudanganyana tu!!
 
Hasira zako zote zielekeze hapa sio kwangu
Screenshot_20201106-112037~2.png
 
Kile tulichokiongelea hapa sasa naona umekileta mwenyewe, tulishakwambia kuwa Kiswahili ni second Language kwasababu makabila yote yana lugha zao mama. Naona hapa umeleta mwenyewe, au umejisahau?
Bado hakifanyi kutokua kibantu, yaani sifa zote zipo na zimezidi ndio maana duniani kote kiswahili kinajulikana kama kibantu
 
Achana na kuongelea Watanzania kwasababu, Watanganyika wote wana lugha zao za kiasili (mother tongue) na Kiswahili ni second selection. Tofauti na Wazanzibari. Ukubali ukatae ukweli ndio huu.
[emoji116][emoji116]Nilishaliongea hili[emoji115][emoji115]
Naona umelileta kwa mara nyingine?
Nilishakwambia Kiswahili sio Kibantu, kwasababu makabila yote ya kibantu yana lugha zao za kimakabila, na hutumia kiswahili kama second selection. Naona umekuja nalo tena au umejisahau, naona unazidi kuonesha mgawanyiko ambao mwisho wa siku kila kabila linabaki na lugha yake na kiswahili kinaendelea kubakia pale pale kikiwa na misamiati mingi ya Kiarabu. Na hayo maeneo mengi yenye jamii za Kibantu, Waarabu walipita kwa ajili ya kusafirisha watumwa na kuwaleta katika pwani ya Afrika mashariki, waarabu hawakuchukua lugha ya mtu bali wao ndio waliacha maneno yao ya kiarabu.
 
Bado hakifanyi kutokua kibantu, yaani sifa zote zipo na zimezidi ndio maana duniani kote kiswahili kinajulikana kama kibantu
Hakikifanyi kutokuwa ni kiarabu, waliosambaza Kiswahili ni Waarabu, kupitia maneno ya kiarabu, kwani hakuna sehemu alipopita mwarabu bila kuacha athari, lakini hakuwa na kawaida ya kuchukua misamiati ya lugha nyingine na kuingiza kwenye lugha yake.
Wabantu ni jamii ya watu weusi.
 
Maneno ya English kwenye kiswahili ni mengi sana kuliko maneno ya kiarabu kwenye kiswahili

English

Arabic
 
  • Thanks
Reactions: T11
[emoji116][emoji116]Nilishaliongea hili[emoji115][emoji115]Naona umelileta kwa mara nyingine?
Nilishakwambia Kiswahili sio Kibantu, kwasababu makabila yote ya kibantu yana lugha zao za kimakabila, na hutumia kiswahili kama second selection. Naona umekuja nalo tena au umejisahau, naona unazidi kuonesha mgawanyiko ambao mwisho wa siku kila kabila linabaki na lugha yake na kiswahili kinaendelea kubakia pale pale kikiwa na misamiati mingi ya Kiarabu. Na hayo maeneo mengi yenye jamii za Kibantu, Waarabu walipita kwa ajili ya kusafirisha watumwa na kuwaleta katika pwani ya Afrika mashariki, waarabu hawakuchukua lugha ya mtu bali wao ndio waliacha maneno yao ya kiarabu.
Maneno ya English kwenye kiswahili ni mengi kuliko ya kiarabu

Waingereza wakisema kiswahili ni kiingereza wana %30 ya kumake sense kuliko waarabu wenye %7 tu ya maeneo yote ya kiswahili

  • Thanks
Reactions: T11
Maneno ya English kwenye kiswahili ni mengi kuliko ya kiarabu

Waingereza wakisema kiswahili ni kiingereza wana %30 ya kumake sense kuliko waarabu wenye %7 tu ya maeneo yote ya kiswahili

Tatizo umekazania Wiktionary zako zisizo na uhalisia.
Hata motivational speaker wanachokiongea ni tofauti na uhalisia kwa ground!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Naelekea kuchoka sasa, wewe unaongea maneno matupu tu ukiongeza zaidi ni viemojis

Sasa ulionea wapi mtu anajenga hoja pana kama hii bila kuleta uthibitisho wa kitafiti?

Kama huu

English borrowed words

Arabic borrowed words
 
  • Thanks
Reactions: T11
Maneno ya English kwenye kiswahili ni mengi kuliko ya kiarabu

Waingereza wakisema kiswahili ni kiingereza wana %30 ya kumake sense kuliko waarabu wenye %7 tu ya maeneo yote ya kiswahili

Fanya tathmini katika maneno utakayoongea ndani ya siku moja, asilimia kubwa ni maneno yenye asili ya kiarabu na sio majina ya vitu ambavyo vingi ni vya kutengeneza na vimetengenezwa na Waingereza na badala yake vinakuja vikiwa tayari na majina ambapo sisi huwa tunatohoa tu!! Haiingii akilini tunapoongelea lugha kama lugha we unakuja na vitu vya kutengenezwa. Ambapo mtengenezaji ni Mwingereza.
[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
 
Naelekea kuchoka sasa, wewe unaongea maneno matupu tu ukiongeza zaidi ni viemojis

Sasa ulionea wapi mtu anajenga hoja pana kama hii bila kuleta uthibitisho wa kitafiti?

Kama huu

English borrowed words

Arabic borrowed words
Huo sio uthibitisho wa kitafiti bali ni majina ya vitu na vingi sana vilivyotengenezwa na Waingereza! Hiyo sio lugha ndugu bali ni vifaa vilivyogunduliwa/kutengenezwa na Waingereza "Printa" hiyo sio lugha bali ni jina la kifaa, ukija kwenye lugha ya kiswahili lipo neno lake.
 
Back
Top Bottom