[emoji116][emoji116]Nilishaliongea hili[emoji115][emoji115]Naona umelileta kwa mara nyingine?
Nilishakwambia Kiswahili sio Kibantu, kwasababu makabila yote ya kibantu yana lugha zao za kimakabila, na hutumia kiswahili kama second selection. Naona umekuja nalo tena au umejisahau, naona unazidi kuonesha mgawanyiko ambao mwisho wa siku kila kabila linabaki na lugha yake na kiswahili kinaendelea kubakia pale pale kikiwa na misamiati mingi ya Kiarabu. Na hayo maeneo mengi yenye jamii za Kibantu, Waarabu walipita kwa ajili ya kusafirisha watumwa na kuwaleta katika pwani ya Afrika mashariki, waarabu hawakuchukua lugha ya mtu bali wao ndio waliacha maneno yao ya kiarabu.