grizzman
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 225
- 407
Kwa hyo nyie huko ndo mpo sahihi si ndioKweli lakini hiyo yote ni katika kulinda heshima, mila, desturi zetu, kwasababu watu kutoka bara wengi ni waharibifu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo nyie huko ndo mpo sahihi si ndioKweli lakini hiyo yote ni katika kulinda heshima, mila, desturi zetu, kwasababu watu kutoka bara wengi ni waharibifu!!
Kha! Kwaheri.*Kuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi. *
Katika kikundi chote hicho cha maneno ulichoandika mwenyewe hapo juu [emoji115][emoji115]niorodheshee maneno 10 tu ya kiarabu
Katika kuhifadhi mila, desturi na tamaduni zetu. Ndio. Na ndio maana wewe kwa mujibu wa desturi zenu, mila na tamaduni zenu mnaona sio sawa.Kwa hyo nyie huko ndo mpo sahihi si ndio
Wacha nikusaidie*Kuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi. *
Katika kikundi chote hicho cha maneno ulichoandika mwenyewe hapo juu 👆👆niorodheshee maneno 10 tu ya kiarabu
Sijui mwenzangu unaongea Kiswahili gani..au uko upande gani wa Afrika MasharikiHahahaha eti asilimia 60? Kwa hiyo nikienda Dubai naweza kuongea na waarabu na wakanielewa vizuri kabisa 60% ya Mazungumzo yangu?
Nikikuambia tu unitajie maneno ya kiarabu kwenye sentences tunazoandika humu hata asilimia 20 ya maneno ya kiarabu hupatapa
Unaongea tu kama umekatwa kichwa, kwa msaada wako tu ni kwamba inahitajika katika lugha yoyote kuelewa angalau asilimia 40 tu ya maneno yote kwenye hiyo lugha then you officially a speaker of it, sasa mbona hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuongea au kusikia kiarabu bila kujifunza rasmi kama ajifunzavyo lugha nyingine!
Kiswahili ni kibantu kwa zaidi ya 90%
Hiyo dialect ya huko kwenu ndio yenye kiarabu kingi na sio kiswahili tumachozungumza kila siku huku.
Katika maneno yote ya kiswahili, maneno yaliyokopwa kutoka kiarabu hayafiki 10%Sijui mwenzangu unaongea Kiswahili gani..au uko upande gani wa Afrika Mashariki
lakini ukweli ni huo, Mwarabu akiongea Kama unaongea Kiswahili ni rahisi kukamata baadhi ya maneno
Tafauta neno lolote halafu niandike, halafu lifanyie uchunguzi,utakuta maneno mengi ni ya Kiarabu..
Kama umeshindwa liweke hapa..Mimi naanza na maneno hata
Mubashara
Habari
Ridhaa
Shukurani.
Hahaha,kwani Mzanzibari original anaonekanaje?Ningefurahi kama Ningekua najadiliana na mzaliwa originally wa Zanzibar mwenye nchi, ninyi walowezi mna makandokando sana
Sawa,..they say don't argue with the fool people might not find the different..Katika maneno yote ya kiswahili, maneno yaliyokopwa kutoka kiarabu hayafiki 10%
Hahahaha ni sawa na kusema United States ni ya wazungu na weusi wakati ni ya redindians ndio wenye nchiHahaha,kwani Mzanzibari original anaonekanaje?
Zanzibar ni Cosmopolitan state, Watu wamechanya damu na makabila ya Afrika na nje ya Afrika
Mimi naweza kubwa mweusi mwenye muonekano wa Mwafrika lakini mdogo wangu Baba mmoja mama mmoja akawa na muonekano wa Kiarabu
Nyinyi Watu wa bara hamjazoea haya,na ndio maana Wazanzibari wanakupasueni kichwa
Kweli, huo ndio mfano hasa wa Zanzibar,wenyeji wa kwanza Zanzibar walikuwa Wadigo, Wazaramo,Wazigua,Wasegeju..Hahahaha ni sawa na kusema United States ni ya wazungu na weusi wakati ni ya redindians ndio wenye nchi
Muarabu, Muhindi, Mreno, Mzungu, Mjerumani wote wameikuta Zanzibar ipo na wenyeji, ninyi kwenu mlikotoka mnakujua
Hakuna muafrica asie na kabila dunia hii, kabla haijaitwa zanzibar ilikua inaitwa unguja na nyingine pemba ikiwa na watumbatu na wahadimu ambao walikua na Mila zao na desturi kama waafrika wengine, kumezwa sana na utamaduni mpya kutoka nje na kumomonyoa asili yao hakuwafanyi kwamba ndio hawakuwa na asili.Kweli, huo ndio mfano hasa wa Zanzibar,wenyeji wa kwanza Zanzibar walikuwa Wadigo, Wazaramo,Wazigua,Wasegeju..
Hao walizaana na Wahindi,Warabu,Wairani,Wachina,kizazi Chao ndio Wazanzibari wa sasa..
Zanzibar hakuna makabila,Kuna Wazanzibari
Makabila yamefutika zaidi ya miaka 500 iliyopita,ukisikia Mzanzibari anajinasibu kwa kabila Lake basi ujue mgeni huyo
1. Nahisi hujitambui.Wacha nikusaidie
Maneno yenye asili ya kiarabu nimeweka RED
Maneno yenye asili ya English nimeweka BLUE
*Kuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi. *
Hayo pekee ndio maneno yasiyo ya Kibantu kwenye hicho kikundi cha maneno, hayafiki hata 20 %
Muarabu asiejua kiswahili kabisa hawezi hata kuelewa chochote hapo, sa iweje mseme kiswahili ni kiarabu?
Hao Watumbatu na Wahadimu unawajua? Unaweza kuonesha walipo ndani ya Zanzibar kwasasa? Lakini mbona wadigo wapo na mpaka sehemu walipo inajulikana? Usilolijua uliza kwa wenyeji.Hakuna muafrica asie na kabila dunia hii, kabla haijaitwa zanzibar ilikua inaitwa unguja na nyingine pemba ikiwa na watumbatu na wahadimu ambao walikua na Mila zao na desturi kama waafrika wengine, kumezwa sana na utamaduni mpya kutoka nje na kumomonyoa asili yao hakuwafanyi kwamba ndio hawakuwa na asili.
1. Nahisi hujitambui.
2. Si kila mtu mwenye kuacess jamiiforums anatumia browser na ndio maana sisi tunaotumia App hatuna uwezo wa kuona rangi. Huniambii kitu kuhusu Kiarabu nakijua kukisoma na kukiandika pia. Muda mwingine huwa naepuka malumbano yasiyo na tija.
www.kiswahilipedia.org
Sisi tunaongelea ndizi kumbe we unaongelea utumbo, mwalimu wako kipofu! Tatizo mnapenda kuamini sana kwa kitu ambacho ni cha kutengeneza. Hata mimi naweza kuandaa taarifa yangu na kuilisha kwenye wikipedia. Tatizo mnaamini sana Wikipedia bila kujua hata huyo alieandaa hiyo taarifa na kuiweka humo ni binaadamu kama wewe!Ubantu wa Kiswahili – KiswahiliPedia
www.kiswahilipedia.org
Hahahaha eti kiswahili kimeanzia zanzibar na zanzibar Hakuna makabila sasa iweje zaidi ya 80% ya msamiati wa kiswahili unatoka kwenye makabila ya kibantu?
Nyerere ndio aliefundisha kiswahili? Wakati mjerumani alikuta tayari kiswahili kipo na akatafsiri Bible kutoka kijerumani kwenda kiswahili huko Bagamoyo na Bible hiyo kwa wakati huo huo ikawa inatumika kila pembe ya nchi?
Yapo maneno mengi Ukiwasikia kwenye vyombo vya habari
Ally wanaita arii
Kwa assumption zangu naona kama wadada na wanawake wengi wa kizanzibar wanajiheshimu na wana misimamo kuliko hawa wanawake wetu wa bara
Chuoni niliwahi kusoma na wadada kadhaa wa kizanzibar hata wanaume pia walikua very discipline. Muda wa msikitini utawakuta msikitini no matter what, wadada hao walikua very humble, hawapendi makuu, ikitokea ukamgusa tu hata kwa bahati mbaya jua ni ugomvi, and walikua very selected upande wa marafiki
Lifestyle yao ilinivutia sana. Sasa sijajua kama wote wapo hivyo au vipi, mwenye kuwafahamu anijuze.