Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Hana kichaa. Kwa sababu kuna wanawake wazuri.

Half cast za kiarabu na kihindi na kikomoro.

Unguja nzima umetembea lini weye huachi kuzugaaaa. Mmmhhhhh.

Zanzibar kuna wanawake wazuri tena sana. Labda tu kwa sbb hawavai nusu uchii
Hawaachi kukimbilia huku
 
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]

Makazi (Nyumba) wanaita Makalio
Utasikia mafuriko yameharibu makalio ya watu zaidi ya 600

Kubisha wanaita Kudinda
Utasikia mie nilimuambia fanya hivi usifanye vile yeye akadinda

Majina ya maeneo sasa ndiyo utacheka uzimie sijui Mchamba wima mara Kibanda maiti! Kuna sehemu inaitwa sijui Banda la Karafuu kata ya Pita na Zako!
Jamani mtavunja mbavu zetu huku
 
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!

Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!

Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)

Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!

Huku Zanzibari;
  • Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
  • Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
  • Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
  • Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
  • Pombe wanaita- moja moto moja baridi
  • Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
  • Shule huku zinaitwa skuli
  • Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
Pole sana nenda pale CCM bar utulize mawazo
 
[emoji23] nimecheka sana mkuu. Mengine niliwahi kusikia, mengine ndio nimesikia kwako. Ningeletewa maji ya mferejini mie singekunywa eti.
 
Kwani uko bara wote wamebarikiwa hayo machura!!!?

Anyway mso hili ana lile. Ndio maana Mungu Akaumba wa tofauti tofauti.

Wengine wanapenda sura, rangi na nywele za kiarabu
Hemu nitumie Mimi inbox nikuone mimi Mzanzibari mwenzio
 
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!

Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!

Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)

Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!

Huku Zanzibari;
  • Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
  • Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
  • Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
  • Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
  • Pombe wanaita- moja moto moja baridi
  • Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
  • Shule huku zinaitwa skuli
  • Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
Umbea wa namna hii una matatizo kwa mtu mmoja mmoja uliye mgeni lakini una manufaa makubwaa sana kwa nchi kwa ujumla wake. Nchi inakuwa salama sana na haiwezi kuingiliwa na wageni hata siku moja.
 
Kabisa
 
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!

Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!

Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)

Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!

Huku Zanzibari;
  • Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
  • Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
  • Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
  • Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
  • Pombe wanaita- moja moto moja baridi
  • Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
  • Shule huku zinaitwa skuli
  • Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
Ukisikia "konda shusha kabla ya kupinda"maana yake shusha kabla ya kuzunguka roundabout,
Ukisikia baada ya kupinda,maana yake shusha baada ya kuipita roundabout.
 
Wanasema TIA HAPO IKIPINDA
 
Back
Top Bottom