Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
CCM walitaka kufanya yaoPole sana Mkuu. Hakika ashukuriwe Mungu Muumba wa Yote. Yeye atakuinua na kukupitisha hata pasipo na njia.
"Safari itaendelea, Maisha yataendelea na hakuna kurudi nyuma" - Melo.
Vyema umetambua hilo, haya mapambano yataendelea kuwepo siku zijazo ni vyema uwe tayari kukabiliana nao wakati wowote, usiogope.
All the best.
Hongera sana na pole naamini sasa ndio umeiva katika uendeshaji wa mtandao.
USHAURI: jitahidi kufuata sheria ukibalance na miiko ya uliyo jiwekea. Kama tuu hapa JF tunaishi kwa masharti na miiko uliyotuwekea. Hakuna shuguli yeyote isiyo na masharti au miiko.
Ni kweli. Kuna mijitu ya hovyooo kabisa humu. Wametumia JF kuwabeba watesi ambao ni CCM na genge lake la vibaka wa kura, waua demokrasia na madikteta dhidi ya uhai wa watu, haki na uhuru wa habari. Wanafahamika hata kwa majina. Ushindi huu wa JF dhidi ya kesi haramu iwe laana kwa waganga njaa hawa wanaojikomba kihasara kutafuta uteuzi.Huu ndio ukweli unaofichwa, kuna watu kadhaa wanatumia JF lakini wanafurahia unyama huu na wanaunga mkono, nakaribia kuishiwa uvumilivu siku chache zijazo nitawataja waziwazi, nitakaowakwaza wanisamehe, hatuwezi kufuga majini ndani ya chupa, iko siku yatachoropoka na kuanza kula watoto.
Liwalo na Liwe.