kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Upo sahihi sana mkuu ungekuwaa kahama ungekulaa bia 5Awamu ya 5 nchi inaendeshwa "KIHUNI" na genge la "WASHAMBA" ,hakuna kufuata sheria,katiba,kanununi na taratibu.
Acha kupotosha Umma, conviction hufuatiwa na judgement.Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni
Nimemaliza. Chini ya Utawala dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.Acha kupotosha umma, conviction hufuatiwa na judgement.
Acha kukariri. Haki ni pamoja na kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria.Nimemaliza. Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.
Chini ya Utawala dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.Acha kukariri. Haki ni pamoja na kuhumiwa kwa mujibu wa sheria.
Ni pamoja na kupata kuhukumiwa kwa mujibu wa seria.Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.
Chini ya Utawala dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.Ni pamoja na kupata kuhukumiwa kwa mujibu wa seria.
Ndio kama ulivyosikia kwenye Media, hukumu ni haki ya mshitakiwa.Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.
🐆Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.