Hukumu inasomwa mbele ya DPP, anatoka nje kuzungumza na waandishi na kueleza watuhumiwa walishaanza kutekeleza hukumu kabla haijasomwa

Hukumu inasomwa mbele ya DPP, anatoka nje kuzungumza na waandishi na kueleza watuhumiwa walishaanza kutekeleza hukumu kabla haijasomwa

Huyu DPP ananifurahishaga sana[emoji1] haishiwi vituko[emoji1787][emoji1787]
 
Hutu boy katika Ubora wake, ndani ya nchi ya chama kimoja.
MaCCM mnatuumiza sana Watanganyika.
 
Yapo mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine.

Nimeona DPP akitoka mahakamani Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya Ardhi ambayo kwa mujibu wa hukumu hiyo Jamhuri imeshinda.

Nje ya Mahakama DPP anawaeleza waandishi kwamba watuhumiwa walishaanza kukabidhi baadhi ya nyaraka za ardhi iliyokuwa inabishaniwa.

Najiuliza, kwanini DPP ametoka Dodoma kwenda kusikiliza hukumu ya kesi hii? Je alijua Jamhuri itashinda? Alianzaje kufanya mazungumzo na watuhumiwa kabla ya hukumu? Mahakama imejiongoza au imeongozwa?

Hivi mtuhumiwa akitaka kumaliza kesi kabla ya hakimu au jaji kunakosa?
Ukitaka kuongea na mdai wko mahakama haifungwi kukubali maana ndio lengo lao kumaliza kesi,
Kwahiyo unakuwa umeisaidia mahakama.
 
Back
Top Bottom