pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hapo ndio kuna utata na utata wenyewe umeshaujibu hapo juu.Mahakama imejiongoza au imeongozwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio kuna utata na utata wenyewe umeshaujibu hapo juu.Mahakama imejiongoza au imeongozwa?
Duu! DPP huyu kiboko anafuata hukumu mahakamani?Ndio kama ulivyosikia kwenye media, hukumu ni haki ya mshitakiwa.
Yapo mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine.
Nimeona DPP akitoka mahakamani Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya Ardhi ambayo kwa mujibu wa hukumu hiyo Jamhuri imeshinda.
Nje ya Mahakama DPP anawaeleza waandishi kwamba watuhumiwa walishaanza kukabidhi baadhi ya nyaraka za ardhi iliyokuwa inabishaniwa.
Najiuliza, kwanini DPP ametoka Dodoma kwenda kusikiliza hukumu ya kesi hii? Je alijua Jamhuri itashinda? Alianzaje kufanya mazungumzo na watuhumiwa kabla ya hukumu? Mahakama imejiongoza au imeongozwa?