Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani.

Swali la msingi kama wafuasi wake wamefungwa miaka kadhaa jela, je huyu kiongozi atasalimika?

Updates:

Ulinzi imeimarishwa mtaa wote naona askari kanzu ndio wengi na wale wa FFU kama vile wanaenda vitani

Ponda amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje | Fuatilia UZI HUU
 

Kama Wabunge wangeingilia uhuru wa mahakama kama walivyofanya kwenye kesi ya gaidi LWAKATARE angeweza kutoka, lakini lolote laweza kutokea tusubiri.
 
hii ni kazi ya mahakama inabidi tuachie mahakama ndio iamue kama ana kosa au hana kosa la kujibu.


"WHEN I DO GOOD I FEEL GOOD WHEN I DO BAD I FEEL BAD AND THAT IS MY RELIGION". ABRAHAM LINCOLN.
 
Nimepita ktk mahakama ya kisutu leo nimeona waislamu kibao wamekaa nje ya uzio wa mahakama wakisubiri kusomwa kwa hukumu ya kiongozi wao huyo huku kukiwa na police wa usalama wakiwa washajipanga. Mliopo eneo la tukio mtupatie up date
 
Mi namuombea ashinde tu ili amani idumu.. Kuna wafuasi wake huku mtaani wanasubri hukumu tu kwamba akifungwa eti wanageuka BOKO HARAM... Jamani WAKRISTO tuimarishe ulinzi nyumba za ibada..
 
Dhulma ya waziwazi ktk nchi hii ditopile aliua kapewa dhamana msanii Lulu aliua kapewa dhamana lLwakatale Ndio Huyo Hana muda atatoka Chenge alieiba na chenji ya rada imerudi yupo nje ponda kesi ya kiwanja anafungwa tena sio akashitakiwe mahakama ya ardhi laa Lema anatishia Amani ya nchi yupo nje
 
Demonstration Downtown
Importance:-High
-

SECURITY NOTICE
American Embassy Dar es Salaam
No. 7-2013
Potential Demonstration Thursday, May 9th
May 8, 2013
-
The Kisutu Magistrate Court has scheduled the verdict and sentencing of Sheikh Ponda and some of his followers between 0900 and 1600 hours on Thursday, May 9th. -The Court is located in downtown Dar es Salaam off Bibi Titi Mohammed Road which is the main road running to the airport (map attached).
-
Whether there will be a demonstration and its possible severity is dependent on:
-
· - - - The sentence pronounced by the court,
· - - - The attitude of potential protesters,
· - - - The police response. - A significant police presence is anticipated. -
-
As a reminder:
-
Avoid Demonstrations & Crowds
-
It is prudent to avoid demonstrations, political rallies, large public gatherings, and crowds. -On occasion peaceful rallies and demonstrations have spontaneously escalated into looting and/or violence with little warning. -Once an incident starts it is very difficult to get away. -Please monitor local news reports-and maintain a low profile. -If traveling outside of Dar es Salaam check with local contacts about potential demonstrations. -If an incident starts--whether a traffic accident gone bad or a spontaneous demonstration--the best course of action is to leave the area and call Marine Post One.
-
Avoiding risky situations and employing simple security practices can make a huge difference to your safety:
-
Maximize your awareness and minimize your risks.
-
· - - - - - - - - Share this notice with family, friends and TDY personnel.
· - - - - - - - - If something untoward happens, please report it to the RSO office so we can assist you as well as learn from the incident.
· - - - - - - - - Please program the following numbers into your cell phones, your family members' cell phones, kids' cell phones, and TDY personnel's cell phones:
-
In the event of an emergency, call Post One:
-
Landline +255-22-229-4111
-
Cell + 255 767 605-043
-
Remember your radio
US Embassy Tanzania
 
ponda sio kiongozi ni mwanaharakati
anajuhudi kubwa lakin hana maarifa
nawasihi waislamu wenzangu kutumia busara ktk migogoro
na sio kukurupuka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…