Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
kaka hapa hujaenda sawa kimaoni unajishushia baada ya kukuona kama mtu mwenye kahekima kwa kiindi sasa, how can u mix jambo linalojulikana chanzo tena la kichama na suala hili la uchochezi wa kidini?
unafahamu mashitaka aliyonayo ponda zaidi ya hilo la uchochezi? umesahau vurugu za uchomaji makanisa au ulifurahia? umenishtua kidogo na comment yako!