Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kanisa walilochoma huko Mbagala watalipa fidia au?
Kifungo cha nje? wacha utani, huyu ni mmojawapo ya wachochezi wakuu wa udini kwa kisingizio anatetea haki za waislamu nchini. Ingefaa aondolewe kwenye circulation kwa muda mrefu ili waislam wenye dhamana ya kuongoza wenzao wafanye kazi yao kwa amani na sheria.
kamuwekee dhamana wewe basi mbona unaongea kwa mbali sana wala hujajitokeza kwenda kumdhamini
Lema anadhaminika hebu kamdhamini Ponda uone kama hutaachiwa vumbi halafu ukafungwe wewe kiherere
RGforever,ben saanane naomba hizi thread za kesi za kidini usiwe unaingilia maana utapoteza ile sifa ya ukamanda ndugu yangu. Tukae pembeni tu