Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu nofal tatizo la waislam nchi hii sio wakristo, uking'ang'ania ktk mawazo hayo hamtojikombea mkuu wangu, mimi sio muislam lakini nakuakikishia marafiki zangu wengi nilionao ni waislam, na hata ofisini kwangu secretary wangu ni muislam (AMINA) kila saa 7 kasoro anafunga ofisi anaenda kusali, na ninaeshimu imani yake na yeye ninamueshimu sana.Kwa kuwa yeye ni muislam tena muumini,
shehe wetu, kipenzi chetu, ndugu yetu, kiongozi wetu,mahakama itamfunga tu, angekuwa ni mkristo kama lwakatare ama askofu angeshaachiwa huru kitambo.
waislamu waumini tunaishi kama watumwa ndani ya nchi hii.
wakristo wakiwa kama ndio wakoloni wetu.
INSHAALLAH ALLAH amfanyie wepesi na ndio iwe sababu ya kupata pepo.
aamin yaa rabi takabal.
Mkuu juzi nilikua kwenye mkutano wa Lema ngarenaro Arusha, Lema aliwaambia watu wa arusha wasije wakaingia kwenye mkumbo wa kushangilia Sheikh Ponda kunyimwa dhamana, Lema alizidi kusema kuwa makosa yanayopaswa kushitakiwa nayo Sheikh Ponda ni bailable offence na he has rights as suspect na sio kama jeshi la polisi linavyom-treat.
So nakubaliana na wewe mkuu kabisa huu ni uonevu kama Lema alivyosema pia.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
loOKING FOR CHEAP POPULARITYLema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Kifungo cha mwaka moja nje asirudie kosa hilo...
Kadiri muda unavyokwenda ndiyo ambavyo heshima yako inazidi kupungua Mkirua, Jibu hoja badala ya kusingizia uandishi, matamshi na post zilizopita... Crushwise amekuuliza swali la msingi kuwa kukosa Hati ndo imemsababishia Ponda kufunguliwa kesi ya ugaidi na kukosa dhamana? Mkuu Barubaru anakuuliza toka lini mahakama ya kisutu ikahusika na migogoro ya ardhi?...
Hii Provocations za kuwataka Waislam wahamanike kisha mpate kisingizio cha kuwaita magaidi hazitafanikiwa Mkuu... Waislam wanasubra kubwa sana, wamevumilia kabla na baada ya uhuru, wameonewa sana, wamenyanyaswa sana, wamefanywa wakimbizi katika nchi yao, mufti amewahi kutimuliwa usiku wa manane!, Waislam wamenyimwa ajira, waislam wamekoseshwa elimu, waislam wamenyimwa fursa za kimaendeleo katika mikoa walioko kwa wingi wao LAKINI waislam ndo hao hao walioleta uhuru wa nchi hii, waislam ndo hao hao waliomlisha Baba wa Taifa na Familia yake...Waislam hao hao ndo wanaongoza kwa kulipa kodi hapa Tanzania! Tunashuhudia mashirika ya upande wa pili yanavyo kwepa kodi na mengine yanaingia mikataba ya kishenzi... Haya yote huwezi kuona kwakuwa Upogo wa udini umekujaa kupitiliza mkuu...
Kaa chini sikiliza hoja za waislam, hapana shaka utagundua kuwa hoja zinamshiko kwa maslahi na ustawi wa Watanzania wote tofauti kabisa na mashinikizo ya WB, IMF na MNC's zinazoendesha shughuli zake hapa Tanzania kwa mgongo wa Kanisa...
Kifungo cha mwaka moja nje asirudie kosa hilo...
Ponda ametiwa hatiani kwa kosa moja ambalo hakimu amempa conditional kifungu 2yrs... Nje akifanya kosa hilo tena ataibeba original penalty ....
Ponda miezi 12 kifungo cha njee..hukumu ya kesi
Ponda miezi 12 kifungo cha njee..hukumu ya kesi
wenye kujua movie ya "ponda vs bakwata" tulijua tu mapema kuwa watatoa hukumu ya kuzima moto......
Mwaka mmoja kifungo cha nje....haibu kwenu wenyewe!anaenda Jela miaka mitano akitoka anakuta CHADEMA tumeichukua magogoni!!
mahakama kuu imemhukumu ponda kifungo cha mwaka mmoja na wenzake wameachiwa huru