Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam,imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za KiislamTanzania Shekhe Ponda Issa Ponda,huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru
source ITV
Inategemea na uchochezi wa aina gani na maneno ya mchochezi yalimtoka wakati ganiLema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Kumbe Sheikh Ponda alisimamishwa Mahakamani kwa kesi ya UCHOCHEZI?!...mimi nilifikiri ni gogoro la "uvamizi" wa kiwanja!.Inategemea na uchochezi wa aina gani na maneno ya mchochezi yalimtoka wakati gani
Ponda alipanga huo uchochezi na alifanya sio mara moja bali alirudia mara nyingi na anafahamika kwa uchochezi.
Ponda anashtakiwa kwa sababu anapingana na vibaraka wa CCM{BAKWATA} Ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya waislamu wa Tanzania.. BAKWATA inashirikiana na CCM kumpoteza Ponda ili waendelee kuhujumu mali za waislamu.
Kifungo cha nje? wacha utani, huyu ni mmojawapo ya wachochezi wakuu wa udini kwa kisingizio anatetea haki za waislamu nchini. Ingefaa aondolewe kwenye circulation kwa muda mrefu ili waislam wenye dhamana ya kuongoza wenzao wafanye kazi yao kwa amani na sheria.Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani.
Swali la msingi kama wafuasi wake wamefungwa miaka kadhaa jela je huyu kiongozi atasalimika?
Updates:
Ulinzi imeimalishwa mtaa wote naona askari kanzu ndio wengi na wale wa FFU kama vile wanaenda vitani
Ponda amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje
Mkuu mimik ni muislam ilanimependa na kukiunga mkono hichi ulicho kiandika. Kwamiaka mingi waislam tumekua tukimtafuta mchawi wetu ninani lakini hivi sasa mchawi kajidhihirisha wazi, hii nibaada yakuamua kuja kuwanga mchana kweupee! Namchawi mwenyewe sie mwengine bali ni BAKWATA. Tatizo linakuja ninjia gani tutumie katika kuikataa Bakwata? Sababu Bakwata imesimikwa na watawala ktk kuendeleza dhulma zidi yetu waislam na viongozi wote waliopale ni usalama wa taifa. Ukitaka kulijua hilo jiulize ni jambo gani ambalo limewahi kubishaniwa baina ya waislam na serkali alafu Bakwata wakawa upande wa waislam? Kwanini kelele zote zinazo pigwa na waislam dhidi ya Baraza hili serkali imekua ikizipuuza? Hapo utagundua kuna maslahi ambayo serkali inayapata kutoka Bakwata.Ndugu nofal tatizo la waislam nchi hii sio wakristo, uking'ang'ania ktk mawazo hayo hamtojikombea mkuu wangu, mimi sio muislam lakini nakuakikishia marafiki zangu wengi nilionao ni waislam, na hata ofisini kwangu secretary wangu ni muislam (AMINA) kila saa 7 kasoro anafunga ofisi anaenda kusali, na ninaeshimu imani yake na yeye ninamueshimu sana.
Tatizo la waislamu nchii hii ni BAKWATA, hili ndilo tatizo ndugu yangu, hawa jamaa ndio wanawafitinisha na kuwagawa, kwanza wameuza maeneo yenu yote, jipangeni muwang'oe hawa kina Sheikh Simba japo ni ngumu, wamejiimarisha serikalini hawa na ndio viongozi wa ccm hawa
hukumu ndo iyo kama mnaona haitoshi au haki haipo..ruksa kakate rufaa
NA HATARUDIA KABISA Hii ndio nchi ya sheria sio SHARIAkwa iyo kesi imeisha kabisa