Hukumu ya Basil Mramba na wenzake leo

chakushangaza zaidi watachiwa huru..
Sasa wewe unaongea kinyume, wakitiwa hatiani ndo cha kushangaza zaidi. Kuachiwa huru siyo cha kushangaza. Kumbuka Yona na Mkapa ndo walijiuzia mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira wenye thamani ya Dola milion 4 kwa sh milion 7! Kwasasa ni kama dola elfu 3.
 
Ccm serikali na chama cha maigizo!
 
Kesho ishakwisha watakuwa uraiani kugombea Ubunge mwezi wa kumi kuwa mawaziri tena.
 
Wanasumbuliwa tu,wezi hawawezi kuwafunga wezi wenzao.
 
Watashinda na kuishitaki serikali na hatimae watalipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…