Hukumu ya Basil Mramba na wenzake leo

Hukumu ya Basil Mramba na wenzake leo

chakushangaza zaidi watachiwa huru..
Sasa wewe unaongea kinyume, wakitiwa hatiani ndo cha kushangaza zaidi. Kuachiwa huru siyo cha kushangaza. Kumbuka Yona na Mkapa ndo walijiuzia mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira wenye thamani ya Dola milion 4 kwa sh milion 7! Kwasasa ni kama dola elfu 3.
 
Kesho ishakwisha watakuwa uraiani kugombea Ubunge mwezi wa kumi kuwa mawaziri tena.
 
Watashinda na kuishitaki serikali na hatimae watalipwa
 
Back
Top Bottom