Hukumu ya Godbless Lema 29 Oct 2012

Hukumu ya Godbless Lema 29 Oct 2012

Dar naona watu wakobize kutafuta chapaa na kujipaka mapoudaaa hawana mjuda na siasa, huu ni moja wapo ya mkoa ambao ni mgumu sana kisiasa , washabiki ni wengi sana kwa starehe kuliko kazi.
 
Tumeomba sana tujuzwe kwa walioko dar chakushangaza ukiweka hii mada modr wanaiondoa
 
Jamani tulijulishwa kuwa hukumu ya mh. Lema itakuwa ni leo jijini Dar es salaam, lakini mpaka sasa hakuna updates yoyote, au bado watu wengi wapo kwenye furaha ya kushinda udiwani hapo jana?

Tafadhari mwenye updates aturushie
 
NDUGU WAna jamvi,leo nakumbukumbuka ndo siku ya bwana Godbless Lema, naomba mwenye updates atupe juu ya kinachojiri mahakamani.
 
Bigp modr hapo mmenitendea haki japo dar wametuangusha lakini subra yafuta heri,deus malya tupe ukweli
 
Kwamujibu wa ratiba ya kesi ya Mh Lema iliyotolewa na Mahakama kuu Tz, ni tarehe 29/11/2012
 
wewe ndiyetulikuwa tunakusubiri sasa weka visuri maana hata magazeti yameripoti ni leo

Nimewasiliana na baadhi ya vingozi wa chadema na wadau wangu waliopo mahakama kuu wakasema kesi sio leo ni mwezi ujao!

Magazeti inawezekana yamekosea tu!
 
Maamuzi yatafanyika mwezi wa 11 tarehe kama ya leo
 
asante kamanda yeriko nakuaminia sana, thanx till november...
 
Kwani Arusha kweli imetulia kwa ajili hiyo? nahisi baada ya yule kamanda kuondolewa kimeeleweka.
 
Back
Top Bottom