Mkuu umesomeka vema sana.Nadhani upo na Jah!Nimewasiliana na baadhi ya vingozi wa chadema na wadau wangu waliopo mahakama kuu wakasema kesi sio leo ni mwezi ujao!
Magazeti inawezekana yamekosea tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umesomeka vema sana.Nadhani upo na Jah!Nimewasiliana na baadhi ya vingozi wa chadema na wadau wangu waliopo mahakama kuu wakasema kesi sio leo ni mwezi ujao!
Magazeti inawezekana yamekosea tu!
Wakuu heshima mbele!
Tafadhali naomba kujuzwa ile hukumu ya kesi ya Ubunge ya mh Lema ilitajwa kusomwa jjn Dar 29 Oct. Je ilisomwa? maamuzi gani yalitolewa? Tafadhali