Dar naona watu wakobize kutafuta chapaa na kujipaka mapoudaaa hawana mjuda na siasa, huu ni moja wapo ya mkoa ambao ni mgumu sana kisiasa , washabiki ni wengi sana kwa starehe kuliko kazi.
Jamani tulijulishwa kuwa hukumu ya mh. Lema itakuwa ni leo jijini Dar es salaam, lakini mpaka sasa hakuna updates yoyote, au bado watu wengi wapo kwenye furaha ya kushinda udiwani hapo jana?