Hukumu ya Godbless Lema 29 Oct 2012

Wakuu heshima mbele!
Tafadhali naomba kujuzwa ile hukumu ya kesi ya Ubunge ya mh Lema ilitajwa kusomwa jjn Dar 29 Oct. Je ilisomwa? maamuzi gani yalitolewa? Tafadhali
 
tusubiri maana ccm inaweza kutumia software za kuangiza vimemo ili tu majaji watoe wao wanalotaka
 
vyovyote itakavyokuwa kamanda lema songa mbele mungu yupo nawe daima na tunakukaribisha mbulu( dongobesh) 18/11/1012
kwaajili y a ufunguzi wa kampeni ya udiwani tutetee kata iyo kwani diwani aliyefariki alikuwa wa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…