The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Hiyo ni hofu ya mwizi anapohisi kazidiwa maujanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MCH.TEMBA AMBAYE YUPO IKULU ZAMBIA AMEOTESHWA NA MIUNGU YAKE KUWA CCM IMESHINDA LAKINI MSHINDI WAKE YUPO KWENYE MACHELA.sou
naona tumepata shehe yahaya mwengine
Huko ikulu ya zambia anafanya nini?
MCH.TEMBA AMBAYE YUPO IKULU ZAMBIA AMEOTESHWA NA MIUNGU YAKE KUWA CCM IMESHINDA LAKINI MSHINDI WAKE YUPO KWENYE MACHELA.sou
unamaanisha jeneza!?nini machela. Lile box la mbao linamfaa
MCH. ALPHONCE TEMBA ALIOTESHWA NA MIUNGU YAKE JUU YA USHINDI WA SATA NA SASA AMEITWA NA SATA ZAMBIA :source Gzt Nyakati leo
unamaanisha jeneza!?