Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

Ndio maana nikasema pia wanalazimishwa kuwa wanaharakati.
Ukiona tatzo ukalifumbia macho na ww pia utakuwa ni chanzo cha hilo tatizo.
Ukielewa nn namaanisha hautowaza hivyo unavyo waza tena
 
Kukemewa kwa kuunga mkono maovu ni kulazimishwa kuwa mwanaharakati?Kwa hiyo watu wakifanya maovu au wakiunga mkono maovu wasikemewe kisa ni kuwalazimisha kuwa wanaharakati?
Hakuna ambapo hao wasanii wameunga mkono maovu ila kujihusisha kwao na ccm ndio kosa lao ndipo inaonekana wanaunga mkono maovu, hivyo walitakiwa wawe wanaharakati.
Mfano Lissu alitaka wawe kama Bob Marley au Roma mkatoliki.
 
Kuna mtu huko nchi za wenzetu, kamchapa Rais kofi. Adhabu yake kafungwa miezi 4. Huku kwetu Mdude kakaa lumande muda gani??? [emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa si wangemuacha huru tu wamemfungia nini
 
Ukiona tatzo ukalifumbia macho na ww pia utakuwa ni chanzo cha hilo tatizo.
Ukielewa nn namaanisha hautowaza hivyo unavyo waza tena
Nachozungumzia mimi hapa ni kupigwa vita, huko kufumbia macho hata Rais wetu wa sasa alifumbia macho matatizo kipindi akiwa Makamu wa rais.
 
Hakuna ambapo hao wasanii wameunga mkono maovu ila kujihusisha kwao na ccm ndio kosa lao ndipo inaonekana wanaunga mkono maovu, hivyo walitakiwa wawe wanaharakati.
Mfano Lissu alitaka wawe kama Bob Marley au Roma mkatoliki.
Diamond alikuwa anamuunga mkono pamoja na kumshobokea Mpakwa mafuta ambae alikuwa busy kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake,kutesa wapinzani na wakosoaji,kuua wapinzani,kuua uhuru wa kujieleza,kuua demokrasia,kuua uchumi wa nchi,kuvunja katiba yetu kiholela,kufanya ukanda,ukabila,ubaguzi wa rangi,kutukana watanzania na kadhalika.

Huku siyo kuunga mkono maovu?Diamond kama kioo cha jamii alipaswa kukemea maovu yote haya na siyo kumuunga mkono pamoja na kumshobokea mtu anaefanya maovu haya.
data.jpg
118783846_601954023812145_6794366874532811663_n.jpg
 
Diamond alikuwa anamuunga mkono pamoja na kumshobokea Mpakwa mafuta ambae alikuwa anateka wapinzani pamoja na wakosoaji wake,kutesa wapinzani pamoja na wakosoaji wake,kuua wapinzani pamoja na wakosoaji wake,kuua uhuru wa kujieleza,kuua demokrasia,kufanya ukanda,ukabila,ubaguzi wa rangi,kutukana watanzania na kadhalika.

Huku siyo kuunga mkono maovu?Diamond kama kioo cha jamii alipaswa kukemea maovu yote haya na siyo kuunga mkono pamoja na kumshobokea anaefanya maovu haya.
View attachment 1818321View attachment 1818322
Huko sio kuunga mkono maovu na ingekuwa hivyo ni kuunga mkono maovu basi mtu wa kwanza kupigwa vita ilitakiwa awe Mama samia kutokana na nafasi aliyokuwa nayo katika huo utawala wa uovu hakuwahi hata siku moja kumkosoa huyo muovu, ila ajabu hakupigwa vita halafu et mtu kama Diamond ambaye ni msanii tu ndio anakuja kupigwa vita. Sasa Diamond alikuwa na uzito gani kwa Mwendazake ukilinganisha na Mama samia?
 
Diamond alikuwa anamuunga mkono pamoja na kumshobokea Mpakwa mafuta ambae alikuwa busy kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake,kutesa wapinzani na wakosoaji,kuua wapinzani,kuua uhuru wa kujieleza,kuua demokrasia,kuua uchumi wa nchi,kuvunja katiba yetu kiholela,kufanya ukanda,ukabila,ubaguzi wa rangi,kutukana watanzania na kadhalika.

Huku siyo kuunga mkono maovu?Diamond kama kioo cha jamii alipaswa kukemea maovu yote haya na siyo kumuunga mkono pamoja na kumshobokea mtu anaefanya maovu haya.
View attachment 1818321View attachment 1818322
Diamond halazimishwi kufikiri kama wewe, kama wewe uliona mabaya tu, huenda yeye aliona kuna mazuri pia

Huku kumlazimisha aone upande mbaya tu wa Magufuli ni kumnyima haki yake ya msingi.
 
Huko sio kuunga mkono maovu na ingekuwa hivyo ni kuunga mkono maovu basi mtu wa kwanza kupigwa vita ilitakiwa awe Mama samia kutokana na nafasi aliyokuwa nayo katika huo utawala wa uovu hakuwahi hata siku moja kumkosoa huyo muovu, ila ajabu hakupigwa vita halafu et mtu kama Diamond ambaye ni msanii tu ndio anakuja kupigwa vita. Sasa Diamond alikuwa na uzito gani kwa Mwendazake ukilinganisha na Mama samia?
Wanaharakati wanatafuta scapegoat tu. Hakuna kitu cha maana wataeleza. Wao wanaamini ukiwa huna mamlaka ndo unahaki ya kupata support kutoka kwa kila mtu. Ni kama vile wanyonge walivyokuwa wanaamini, kwa sababu tu hawana uwezo basi wanahisi wanahaki ya kupata chochote au support.
 
Diamond halazimishwi kufikiri kama wewe, kama wewe uliona mabaya tu, huenda yeye aliona kuna mazuri pia

Huku kumlazimisha aone upande mbaya tu wa Magufuli ni kumnyima haki yake ya msingi.
Jinai huwa haifumbiwi macho.Mimi kwa mfano nikiua mtu mmoja halafu nikajenga vituo vizuri mia moja vya watoto yatima, hilo halitafuta hatia yangu kuwa mimi ni mtu muuaji na ni mtu mbaya sana na ninapaswa kupingwa na kila mtu na kuhukumiwa kunyongwa.
 
Jinai huwa haifumbiwi macho.Mimi kwa mfano nikiua mtu mmoja halafu nikajenga vituo vizuri mia moja vya watoto yatima haitafuta hatia yangu kuwa mimi ni muuaji na ni mtu mbaya sana na ninapaswa kupingwa na kila mtu na kuhukumiwa kunyongwa.
Sio kwamba sijui hayo, ila napinga kumlazimisha Diamond afikili kama unavyofikili wewe

Huenda wewe uliona Magufuli ni muuaji, mtu mbaya n.k, toa ushahidi wenye mashiko kuthibitisha hilo

Usizushe tu, then unataka kila mtu akuunge mkono

Magufuli alikua mkabila...toa vithibitisho

Aliua watu.. Thibitisha
 
Huko sio kuunga mkono maovu na ingekuwa hivyo ni kuunga mkono maovu
Kwa hiyo unatetea kwa nguvu zote mbele ya hadhira ya wana JF kuwa kumuunga mkono mtu ambae anafanya maovu siyo kuunga mkono maovu?Kwenye hili kwa nini usingekaa kimya kuficha ujinga wako?
basi mtu wa kwanza kupigwa vita ilitakiwa awe Mama samia kutokana na nafasi aliyokuwa nayo katika huo utawala wa uovu hakuwahi hata siku moja kumkosoa huyo muovu, ila ajabu hakupigwa vita halafu et mtu kama Diamond ambaye ni msanii tu ndio anakuja kupigwa vita. Sasa Diamond alikuwa na uzito gani kwa Mwendazake ukilinganisha na Mama samia?
Hakuna mtu ambae ana akili timamu anaemuunga mkono Samia.Mimi huwa nasema hapa kila siku very clearly kuwa Samia ana laana za Magufuli na hafai kuwa Rais.
 
Kwa hiyo unatetea kwa nguvu zote mbele ya hadhira ya wana JF kuwa kumuunga mkono mtu ambae anafanya maovu siyo kuunga mkono maovu?Kwenye hili kwa nini usingekaa kimya kuficha ujinga wako?

Hakuna mtu ambae ana akili timamu anaemuunga mkono Samia.Mimi huwa nasema hapa kila siku very clearly kuwa Samia ana laana za Magufuli na hafai kuwa Rais.
Sina ujinga mi naelewa kwanini Mama Samia hakupigwa vita kwa sababu hakuwa akiunga mkono maovu ndio maana nashangaa Diamond ambaye nae hatukumuona kuunga mkono maovu et anapigwa vita kisa tu ukaribu wake na Mwandazake.
 
Sio kwamba sijui hayo, ila napinga kumlazimisha Diamond afikili kama unavyofikili wewe

Huenda wewe uliona Magufuli ni muuaji, mtu mbaya n.k, toa ushahidi wenye mashiko kuthibitisha hilo

Usizushe tu, then unataka kila mtu akuunge mkono

Magufuli alikua mkabila...toa vithibitisho

Aliua watu.. Thibitisha
Huna macho hadi uhitaji ushahidi katika maovu yaliyokuwa yanafanyika mchana kweupe na dunia nzima ikawa inalaani?Kuna maiti zilikuwa zinaokotwa mtu Ruvu na pembezoni mwa fukwe za bahari,kwa nini serikali hadi leo imeshindwa kutoa maelezo juu ya maiti zile au kukamata washukiwa?Wapinzani nchi nzima wanaozea jela kwa kesi za kubambikiwa halafu unadai ushahidi?

Kuna watanzania kwa maelfu wanaozea jela kwa kesi za kubambikiwa za kuhujumu uchumi na bado unadai ushahidi?Bunge limejaa wabunge ambao hawakuwahi kuchaguliwa na wananchi halafu unadai ushahidi?

Kayafa kwa kinywa chake aliwahi kutamka kwamba ole wao wakurugenzi ambao yeye anawapa posho na usafiri kisha watangaze wapinzani kisha wewe unadai ushahidi?Kayafa alikuwa anazunguka nchi nzima na kuwaambia wananchi kuwa kama watachagua upinzani hatapeleka maendeleo kisha wewe unadai ushahidi?Nikuwekee video?
 
Back
Top Bottom