Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

Sina ujinga mi naelewa kwanini Mama Samia hakupigwa vita kwa sababu hakuwa akiunga mkono maovu ndio maana nashangaa Diamond ambaye nae hatukumuona kuunga mkono maovu et anapigwa vita kisa tu ukaribu wake na Mwandazake.
Hakuna ambae anampiga vita Diamond halafu hampigi vita Samia.
 
Reactions: BAK
Nadhani kijana huyu atafungwa!!!ili ku balance kufungwa kwa Sabaya!!!watafanya hv ili kuua umaarufu wa CHADEMA utakaoibuka Mbeya na Tz kwa ujumla ikiwa ataachiwa Huru!!!Huu ni mpango ulioratibiwa mapema sana!!!kama Mama angekuwa na mpango wa kumweka huru kesi yake ingeshafutwa siku nyingi sana!!!!
 
Mimi nilitaka unambie mpinzani flani alibambikiwa kesi flani na ushahidi ya kwamba hakua na kosa utoe

Mtu flani alipewa kesi ya uhujumu uchumi, weka na ushahidi kwamba hakua na kosa

Zile maiti kule Beach pia weka ushahidi kwamba walikua ni raia wasio na hatia.
 
Haya Samia anapigiwa vita gani?
Samia hafai kuwa Rais kwa sababu ana laana za Kayafa za Kuua,kuteka,kutesa,kumbakizia watu wasio na hatia kesi,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuua uchumi na kadhalika.Haya maovu yote haya alikuwa anafanya yeye pamoja na Kayafa.
 
HV wewe unafaa kuwepo huku kweli maana navojua huku wapo watu wenye fikra kubwa sasa kma hujui wanachadema waliofunguliwa mashitaka na kuachiwa baada ya kukosekana ushahidi wewe ni great thinker kweli yaani umeshindwa hata kufanya hata utafiti kidogo kabla ya kukomment au hata mh rais aliposema kuna baadhi ya watu wafanyabiashara na wanasiasa wamebambikiwa kesi akaomba Dpp azifute ulifikili yy hakua unajua hilo nadhani umenielewa ukiendelea kubisha ntakuja nikupe idadi ya wanachama walioachiliwa na mahakama kwa majina na wapi kwa kua walikua wameshitakiwa kwa makosa ya uongo hapo sasa tutajua wewe ni great thinker au ww ni kilaza
 
Samia hafai kuwa Rais kwa sababu ana laana za Kayafa za Kuua,kuteka,kutesa,kumbakizia watu wasio na hatia kesi,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuua uchumi na kadhalika.Haya maovu yote haya alikuwa anafanya yeye pamoja na Kayafa.
Sasa mbona hapigwi vita ila vita kaenda kupigwa Diamond ambaye ni msanii tu?
 
Huku kwetu wasanii wanapigwa vita kisa wamechagua kuwa chama tawala wanalazimishwa kuwa wanaharakati, wale wenzetu tunatofautiana kwa vingi sana.
Kuna tofauti ya mwanaharakati na kioo cha jamii. Ukishakuwa kioo cha jamii, influence yako inakuwa kubwa sana. Mambo unayoyafanya yanagusa wengi sana, either utake au usitake. Siungi mkono kumpiga vita Diamond, ila ukweli ni kwamba Diamond alikosea sana kusimama na Magufuli, kufumbia macho yaliyokuwa yakiendelea na kuiacha jamii yake.
 
Samia hafai kuwa Rais kwa sababu ana laana za Kayafa za Kuua,kuteka,kutesa,kumbakizia watu wasio na hatia kesi,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuua uchumi na kadhalika.Haya maovu yote haya alikuwa anafanya yeye pamoja na Kayafa.
Najibu Kwa dini yako: Ushindwe na ulegeee mazimaaa
 
Unataka uthibitishiwe wewe tena mtandaoni wewe umekua nani?.Sio kila kitu lazima ukipate wazi wazi kama unavyotaka kutuaminisha hapa mambo mengine tumia akili zako mwenyewe.
 
Kwa hiyo hukumu bado?

Nilikua nasubiri kwa hamu zote.
 
Yale yale ya Profesa wa USA kule Arusha. Walimuwekea pembe feki ili awape pesa.
Huyu kawekewa unga ili wamfunge.. Lala unapo stahili Magu
 
Unataka uthibitishiwe wewe tena mtandaoni wewe umekua nani?.Sio kila kitu lazima ukipate wazi wazi kama unavyotaka kutuaminisha hapa mambo mengine tumia akili zako mwenyewe.
Duh! kwahiyo huku ni sehemu ya kuzusha bila kuthibitisha, nikitaka uthibitisho inatakiwa niwe nani?
 
Mkuu niite utakavyo, ninachotaka hapa ni vithibitisho.
 
Unadhani unabet eti.
 
Nimefatilia kwa kwel sioni tusi hata moja, kwanini wewe usifanye kama unavyoomba humu ushahidi wa waliobambikiwa kesi babu?
Kama hujaona tusi ni vizuri, hii itaongeza uwanja wa Mdude kushinda kesi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…