Hukumu ya Mdude Nyagali ni tarehe 14/6/2021

Hukumu ya Mdude Nyagali ni tarehe 14/6/2021

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.

Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka sasa

Tunaomba kila mwenye kumcha Mungu amuombee sana dua kijana huyu.
 
Ukweli ni kuwa tumuombapo Mungu atende haki bila shaka huwa ni haki nyoofu.

Haki siku zote ina pande mbili. Furaha na huzuni. Na zote tuzikubali.

Kama atatiwa hatiani kwa haki, tukubali pia. Akitoka kwa haki tushangilie.
 
Huo ni ukweli Huyo jamaa ni mshamba na hajui harakati, anashindwa kuwa na harakati za kisomi kama wengine
 
Jamaa alikuwa anakosoa kishamba Sana na tatizo lake elimu yake ndogo.huwezi mtukana mkuu we nchi hadharani ukabaki salama
 
jpm was killer murderer assassinator abducter dictator of our modern times in tanzania
 
Sema jamaa anaropoka sana ,akipona kwenye hii kesi inabid abadirike kidogo afanye harakat kijanja sio kujitoa sana front
 
Back
Top Bottom