Hiyo ya Mwenyekiti wa Halmashauri Tarime tukiiweka hapa utakimbia , wamemtengenezea kishamba sana kwa kuhoji upotevu wa hela , tena unyamaze kabisa , nakusanya nyaraka halafu naiweka hapa
Hiyo ya Mwenyekiti wa Halmashauri Tarime tukiiweka hapa utakimbia , wamemtengenezea kishamba sana kwa kuhoji upotevu wa hela , tena unyamaze kabisa , nakusanya nyaraka halafu naiweka hapa
huna lolote weka tuone hizo nyaraka za kugushi kijana wenu anakula mvua za kutosha iwe fundisho kwa vijana wengine muwe mnaona aibu mbona wewe kila siku unaitetea chadema pamoja na kuwa ni genge la wahuni mbona hujawahi kutukana matusi kama aliyokuwa anatuka na mdude mwacheni afungwe atatoka tu miaka 30 siyo mingi
Kama anajihusisha na Madawa ya kulevya hata mm siwezi kumwonea huruma kwani wanaoharibika kimaisha na kufa ni wengi kwa madawa hayo. YEYE ATAKUWA HANA HURUMA SASA AHURUMIWE VIPI? Kitu muhimu uhahidi uwe wa kweli IKIHUSISHA DNA NA ALAMA ZA VIDOLE KAMA ULIKUWA NI MZIGO WAKE BILA SHAKA ATAKUWA AMEUPOKEA NA KUFUNGUA NA KUONJA KAMA HUO UGORO UKO SAWA.
Mpigania uhuru au alikuwa mtukanaji tu yule, kama atachomoka ajipange upya hizo harakati za kutukana sio wana harakati wenzie hawako hivyo harakati za kukashifu na kutukana mkuu wa nchi ni ushamba, Harakati lazima uabgalie shetia za nchi yako zikoje otherswise kuwa mropokaji tu halafu akajidai mwana harakati atagongwa nyundo za kutosha.
1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa viroba wako hapa)
3. Mapenzi ya Mungu (vya kina Nyerere viko hapa).
4. Vya kijinga (kudharau corona vipo hapa).
#1 na #3 havina shida ila #2 na #4 au nasema uongo ndugu zangu?
Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao. Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi: Kwamba pana vifo vya aina 4: 1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa) 2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...
Wakuu mimi siko upande wowote wa shilingi,,
Ila magufuli yule mtu hapana kwa kweli.
Madawa ya kulevya na mdude aisee mungu amuweke mahala anapostahili huko aliko.
Hakuna kitu hata vitabu vyote vya dini vinatuhimiza kama kutenda haki Mungu akikupa mamlaka ya kuongoza wenzio.
LEO NDIYO HAMTAAMINI MDUDE ANAKULA MVUA ZA KUTOSHA ILI IQWE FUNDISHO KWA VIJANA WENGINE WANAOSHABIKIA SIASA ZA MAJI TAKA ZA CHADEMA KUSHANGILIA MAOVU HALAFU WANAKUACHA PEKEYAKO
1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa viroba wako hapa)
3. Mapenzi ya Mungu (vya kina Nyerere viko hapa).
4. Vya kijinga (kudharau corona vipo hapa).
#1 na #3 havina shida ila #2 na #4 au nasema uongo ndugu zangu?
Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao. Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi: Kwamba pana vifo vya aina 4: 1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa) 2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.