Hukumu ya Mdude Nyagali ni tarehe 14/6/2021

Mimi niliguswa nilikuwa nagombea nafasi ya uenyekiti wa chama cha walimu Tanzania katika moja ya wilaya hapa Tanzania. Nilichokutana na nacho ni aibu kidogo tu yanikute ya mdude. Kama nisingetumia akili yangelinikuta ya mdude.
Pole sana mkuu
 
Hii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.

Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka sasa

Tunaomba kila mwenye kumcha Mungu amuombee sana dua kijana huyu.
Mwenye kumcha mungu hawezi kuombea wahalifu

Wahalifu wajiombee wenyewe.
 
Jamaa alikuwa anakosoa kishamba Sana na tatizo lake elimu yake ndogo.huwezi mtukana mkuu we nchi hadharani ukabaki salama
alitakiwa kushitakiwa kwa makosa halali si kumbambika unga ambao hata haujui , kuna wauza unga Mlowo Mbozi , wanamuuzia nani ?
 
Hii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.

Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka sasa

Tunaomba kila mwenye kumcha Mungu amuombee sana dua kijana huyu.
Mwanakulifindi
Mwanakuliget😂😂🙏🏾😂😂😂
 
Afungwe miaka 30 iwe fundisho kwa wajinga kama yeye. Unajidai mwanaharakati huku unaharibu vijana kwa madawa ya kulevya. Shubamiiiiti.
 
alitakiwa kushitakiwa kwa makosa halali si kumbambika unga ambao hata haujui , kuna wauza unga Mlowo Mbozi , wanamuuzia nani ?
Wewe una uhakika huo unga haujui? Ulifikaje kwake? Mtu anaweza kuwa mhalifu na akajifichia kwenye harakati ili apate watetezi uchwara kama wewe. Kwani wana CCM hawashitakiwi na kufungwa?

Hata tunapoongea Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini na wenzie wako ndani kwa tuhuma za mauaji. Kwa hiyo wana CCM wajitokeze na kumtetea bila kuiachia Mahakama ichukue mkondo wake?
 
Hii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.

Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka sasa

Tunaomba kila mwenye kumcha Mungu amuombee sana dua kijana huyu.
huyo lazima ale mvua za kutosha ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaomsujudia chadema na kudharau mamlaka na kutukana matusi yasiyovumilika
 
alimtukana nani? toa mfano usilete maneno yasiyo na evidence
yaani kama hujui matusi aliyokuwa anatukana huyu kijana bora usichangie mada utakuwa humjui vizuri mdude nenda jikoni kakate vitunguu upike mumeo anakuja kula
 
Mahakama hizi zinaendana na matakwa ya rais aliyeko madarakani kwa wakati huo ana mtizamo gani kuhusiana na kesi husika.

Rais amepewa mamlaka ya kuteua watu kuwa majaji bila ya hao watu kufanyiwa vetting na chombo huru matokeo yake majaji wa leo lazima wawe makada wa ccm na ndio maana dhuluma imetamalaki kwenye hizi mahakama.
 
yaani kama hujui matusi aliyokuwa anatukana huyu kijana bora usichangie mada utakuwa humjui vizuri mdude nenda jikoni kakate vitunguu upike mumeo anakuja kula
Ujue mama yako ni hawala yangu. Unamtukana baba yako wa kufikia.
 
Wewe una uhakika huo unga haujui? Ulifikaje kwake? Mtu anaweza kuwa mhalifu na akajifichia kwenye harakati ili apate watetezi uchwara kama wewe. Kwani wana CCM hawashitakiwi na kufungwa?

Hata tunapoongea Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini na wenzie wako ndani kwa tuhuma za mauaji. Kwa hiyo wana CCM wajitokeze na kumtetea bila kuiachia Mahakama ichukue mkondo wake?
Hiyo ya Mwenyekiti wa Halmashauri Tarime tukiiweka hapa utakimbia , wamemtengenezea kishamba sana kwa kuhoji upotevu wa hela , tena unyamaze kabisa , nakusanya nyaraka halafu naiweka hapa
 
Back
Top Bottom