Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Pole sana mkuuMimi niliguswa nilikuwa nagombea nafasi ya uenyekiti wa chama cha walimu Tanzania katika moja ya wilaya hapa Tanzania. Nilichokutana na nacho ni aibu kidogo tu yanikute ya mdude. Kama nisingetumia akili yangelinikuta ya mdude.
Mwenye kumcha mungu hawezi kuombea wahalifuHii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.
Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka sasa
Tunaomba kila mwenye kumcha Mungu amuombee sana dua kijana huyu.
alitakiwa kushitakiwa kwa makosa halali si kumbambika unga ambao hata haujui , kuna wauza unga Mlowo Mbozi , wanamuuzia nani ?Jamaa alikuwa anakosoa kishamba Sana na tatizo lake elimu yake ndogo.huwezi mtukana mkuu we nchi hadharani ukabaki salama
Uhalifu ni nini ?Mwenye kumcha mungu hawezi kuombea wahalifu
Wahalifu wajiombee wenyewe.
MwanakulifindiHii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.
Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka sasa
Tunaomba kila mwenye kumcha Mungu amuombee sana dua kijana huyu.
Watu wanatoa machozi ila yeye anaozaMwendazake kaeda zake ila katesa watu saana!! Kuna watu hadi leo wanatoa machozi kwa mamia....
Haukuwa wa kishamba ulikuwa wa kiuaji snUtawala wa mwendazake ndio ulikuwa wa kishamba haijawahi kutokea
Wewe una uhakika huo unga haujui? Ulifikaje kwake? Mtu anaweza kuwa mhalifu na akajifichia kwenye harakati ili apate watetezi uchwara kama wewe. Kwani wana CCM hawashitakiwi na kufungwa?alitakiwa kushitakiwa kwa makosa halali si kumbambika unga ambao hata haujui , kuna wauza unga Mlowo Mbozi , wanamuuzia nani ?
huyo lazima ale mvua za kutosha ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaomsujudia chadema na kudharau mamlaka na kutukana matusi yasiyovumilikaHii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.
Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka sasa
Tunaomba kila mwenye kumcha Mungu amuombee sana dua kijana huyu.
yaani kama hujui matusi aliyokuwa anatukana huyu kijana bora usichangie mada utakuwa humjui vizuri mdude nenda jikoni kakate vitunguu upike mumeo anakuja kulaalimtukana nani? toa mfano usilete maneno yasiyo na evidence
unyama wa mbowe mnaoukumbatia ?bado haujakukuta waulize kina wangwe na saa kumi wanamjua mboweUnyama wa jiwe ni nani haukumgusa ?
Wacha aje ak...fle wewe mtumwa wa chaga development manifestoWeee mbwa kajitombe kama jina lako
Ujue mama yako ni hawala yangu. Unamtukana baba yako wa kufikia.yaani kama hujui matusi aliyokuwa anatukana huyu kijana bora usichangie mada utakuwa humjui vizuri mdude nenda jikoni kakate vitunguu upike mumeo anakuja kula
Hiyo ya Mwenyekiti wa Halmashauri Tarime tukiiweka hapa utakimbia , wamemtengenezea kishamba sana kwa kuhoji upotevu wa hela , tena unyamaze kabisa , nakusanya nyaraka halafu naiweka hapaWewe una uhakika huo unga haujui? Ulifikaje kwake? Mtu anaweza kuwa mhalifu na akajifichia kwenye harakati ili apate watetezi uchwara kama wewe. Kwani wana CCM hawashitakiwi na kufungwa?
Hata tunapoongea Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini na wenzie wako ndani kwa tuhuma za mauaji. Kwa hiyo wana CCM wajitokeze na kumtetea bila kuiachia Mahakama ichukue mkondo wake?
Nitakufa kifo chema sio cha laana kama JiweWote tutaenda uko,wewe nawe utakufa kamwe hautaiona 2100