Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

Hali imezungukwa na giza na wingu zito tukizingati Sirro na Sabaya ni wateule na hakimu pia mteule, Sirro alimtia hatiani Mbowe je, Sabaya atakanusha kuwa Mbowe alitaka kumuua?

Je, kuhitajika kwa Sabaya kwenye kesi ya Mbowe hakutamuokoa Sabaya? Ninaona ni kama mechi kati ya maveterani wa CCM dhidi ya maveterani wa Chadema.

Haya ni mawazo yangu tu.
 
KESI JINAI namba 105 / 2021
HUKUMU KUTOLEWA 01 OKTOBA 2021

WAKILI EMMANUEL ANAELEZEA
KESI YA SABAYA : ADHABU KISHERIA NI MIAKA 30 NA KUCHAPWA VIBOKO, ANGALIZO HAPA NI IKIWA MTUHUMIWA AKIPATIKANA NA HATIA

Kesi Ya Kwanza Inayomkabili Aliyekuwa Mkuu Wilaya Ya Hai Lengai Ole Sabaya Na Wenzake , Hukumu Inatarajiwa Kutolewa Tarehe 1/10/2021 Na Adhabu Kwa Kosa La Wizi Wa Kutumia Silaha Ni Jela Miaka 30 Na Kuchapwa Viboko Kwa Mujibu Wa Penal Code.
Wakili Emnanuel Augustino pia anakumbusha kuwa mkuu wa zamani wa wilaya Lengai Ole Sabaya pia ana kesi nyingine Kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha namba 27 /2021 inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake watano nayo bado inaendelea kusikilizwa
Source : Channel1TV
 
Ata achiwa huru... Na atakuwa huru kabisa.... Arudi uraiani kwakweli tumemmiss sana
 
Back
Top Bottom