Hali imezungukwa na giza na wingu zito tukizingati Sirro na Sabaya ni wateule na hakimu pia mteule, Sirro alimtia hatiani Mbowe je, Sabaya atakanusha kuwa Mbowe alitaka kumuua?
Je, kuhitajika kwa Sabaya kwenye kesi ya Mbowe hakutamuokoa Sabaya? Ninaona ni kama mechi kati ya maveterani wa CCM dhidi ya maveterani wa Chadema.
Haya ni mawazo yangu tu.