Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anatakiwa kufungwa kifungo cha maisha
Mlioko Kisutu mahakamani tafadhalini tupeni updates ya kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda, nimesoma kwenye gazeti kuwa leo ni siku ya hukumu
Sheikh Ponda hawezi kufungwa, ni mdau mkubwa wa handsome boy wa Magogoni
Acha uzushi wewe!!!!!!
Tueleze ukweli basi...
Acha uzushi wewe!!!!!!
kama ni uzushi subiri basi usikie unapoamini newz zake....ni hayo tu.
Kwani ninyi mlitaka afungwe?
Hukumu iliyokuwa itolewe leo dhidi ya Shekhe Issa ponda imeahirishwa mpaka mei 9..
Nikutokana na hakimu kuugua.