Hukumu ya Sheikh Ponda kusomwa Mei 9...

Hukumu ya Sheikh Ponda kusomwa Mei 9...

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,013
Hukumu iliyokuwa itolewe leo dhidi ya Shekhe Issa ponda imeahirishwa mpaka mei 9..
Nikutokana na hakimu kuugua.
 
akiukumiwa tu basi hapo ndio tutaamini CCM wana udini kwa kosa gani hapo Waislamu kueni makini na ukumu hii ya CCM
 
...ehhh..? kiinteligensia nini ?
 
anatakiwa kufungwa kifungo cha maisha
 
Mlioko Kisutu mahakamani tafadhalini tupeni updates ya kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda, nimesoma kwenye gazeti kuwa leo ni siku ya hukumu
 
Mlioko Kisutu mahakamani tafadhalini tupeni updates ya kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda, nimesoma kwenye gazeti kuwa leo ni siku ya hukumu

bwana MAFILILI kwa habari nilizoziskia jana kitaani hii hukumu itasogezwa mbele,ikulu bado inalumbana ni maelekezo gani hasa ya kutoa kwa mahakama...
 
Last edited by a moderator:
Hukumu iliyokuwa itolewe leo dhidi ya Shekhe Issa ponda imeahirishwa mpaka mei 9..
Nikutokana na hakimu kuugua.

Ebana poa, augue pole Hakimu.....yeye Ponda wamrudishe tu Rumande ili kunguza uwezekano wa kupunguza amani ambayo ndo kwanza imeanza kushushwa na hawa wanaojiita viongozi wa dini
 
sheria ndio zinataka afungwe...

By matumbobwana MAFILILI kwa habari nilizoziskia jana kitaani hii hukumu itasogezwa mbele,ikulu bado inalumbana ni maelekezo gani hasa ya kutoa kwa mahakama...

Sasa mbona huyu mtu kaongea hivi??
 
Hajafungwa tu huyo mfanya mvurugu.. Ningekuwa hakimu si chini ya miaka 10 ingemuhusu
 
Back
Top Bottom