PreGE2025 Hukuna kutoa kura za Ndiyo: Sisi Jimbo Letu Tunamdai Samia: Je, Jimbo Lako Mnamdai Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mpaka alipe madeni yake yote kwanza ndiyo aombe kura. Kinyume na hapo hakuna kumchagua.
 
Wakandarasi wa ndani wamefilisika mama kwenye upande wa barabara kachemka sana tanroad imekufa
 
Mkiletewa baiskeri mtatulia na kutoa kura za ndiyo, baada ya hapo mnanyoosgwa kwa miaka 5 tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…