Human brain vs computer

Nlitaka ujiongeze sasa...programmer ni nani... kama wewe ndio program.
Mimi nilimuuliza huyo ambaye analinginisha kitu na mtu, akili yake japo amesoma Lakin anashindwa kuelewa mambo mepesi kama haya kweli! Hii western education bado tatizo kwetu
 
sasa usinipangie namna ya kueleza, kama ungejua nini Maana ya DNA, na inakazi gani,hata usingeuliza unachokisema tutakesha hapa.
Mkuu nasikitika kusema mkuu ulienda shule kukalili sio kuelimika
 
Mimi nilimuuliza huyo ambaye analinginisha kitu na mtu, akili yake japo amesoma Lakin anashindwa kuelewa mambo mepesi kama haya kweli! Hii western education bado tatizo kwetu
Wala!!! Yuko sahihi kabisa...hata gari unaweza ukalilinganisha na binadam. Nistake kuleta falsafa na theolojia hapa...ila.
Programmer katengeneza program iwe na mfano au function kama za programmer, kwa iyo ile program ikioperate. Operation zake au product yake itatoka kwa formula iyo iyo...muonekano au functionality zitakuwa tofauti.
Mfano, muundo wa solar system una fanana na muundo wa atom moja. Japo functionality ni tofauti.
 
Mkuu human brain is exceptionally hii haitaji mjadara huu ndio uhalisia huwezi ukafananisha na computer
 
Mkuu human brain is exceptionally hii haitaji mjadara huu ndio uhalisia huwezi ukafananisha na computer
Programmer anaeza akawa mnoma sana...ila akawa na kompyuta ya kiwango cha chini. Unachozungumzia ni "mtu"....ila hardware ya "brain" inaweza jadiliwa
 
Computer is programming to do a certain limited work according to the software installed in
Mzee baba your brain haiwezi fanya chochote kama hujaipa commands. It does limited work according to your intentions. Period. Ukitaka upumue tu, utapumua...afu baas.
 
Mzee baba your brain haiwezi fanya chochote kama hujaipa commands. It does limited work according to your intentions. Period. Ukitaka upumue tu, utapumua...afu baas.
You are not command the brain, it only itself mkuu
 
Kuna tofauti ya ubongo....na akili. Sawa mkuu!!! Wewe unazungumzia akili.

Wengine huku wanazungumzia ubongo.
Mkuu hiyo akili iko sehemu ya ubongo so huwez kuitoa sasa sijui wewe unataka kuzungumza nini
 
Mkuu hiyo akili iko sehemu ya ubongo so huwez kuitoa sasa sijui wewe unataka kuzungumza nini
Nani kakudanganya? Ni sawa na kusema clouds fm iko ndani ya radio yako nyumbani kwako. Au watu kwenye tv wako ndani ya tv.
 
Tenganisha akili na ubongo sasa
Akili ni kama pumzi, haina sehemu maalum ilipo...huwezi kuishika au kuiona ukasema akili yangu hii hapa.

Ila
pua...inareceive pumzi
Macho...yanareceive mwanga
Masikio...yanareceive sauti
Ubongo....unareceive mawazo (impulse za akili)

Umeona kila kitu hapo kinachoonekana na kushikika kinapata maelekezo kutoka kwa kisichoonekana.

Nikienda sasa kwenye mada.
Kompyuta....inareceive data.
Data huwezi kuiona wala kuishika...wala kusema inakaa wapi exactly kwenye hardware. Yani ipo tu.
 
Umempiga kwenye mshono,
Maana ameleta mada kujadiliwa ilihali ana majibu yake kabisa [emoji16]
 
watu menye kufiri vizuri,na wanaojua mambo hawana haja ya kubishana, wangeshusha nondo zao kama hapa, huwa hawana porojo kama hizo,

weka point.
🤣🤣🤣 nakubali diplomasia yako.
 
nakubaliana na wewe bongo zetu zinauwezo sana, na sehemu iliyobaki ambayo hajaijua bado kuhusu ubongo ni kubwa kuliko tuliopata kuijua, but kuna some scope wanascience wamejaribu kuzipambanisha na super computers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…