- Thread starter
- #41
msaidie huyo kijana anaejifanya anajua kumbe, anaungua anajua.Swali gumu hili na ninafikiri binadamu hatutakuja kujua jibu , vipi unajua kabla hujazaliwa ulikuwa wapi? ukijibu hilo labda unaweza kupata jibu lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msaidie huyo kijana anaejifanya anajua kumbe, anaungua anajua.Swali gumu hili na ninafikiri binadamu hatutakuja kujua jibu , vipi unajua kabla hujazaliwa ulikuwa wapi? ukijibu hilo labda unaweza kupata jibu lako
wewe ndio huelewi ila unajifanya unaelewaMimi nilimuuliza huyo ambaye analinginisha kitu na mtu, akili yake japo amesoma Lakin anashindwa kuelewa mambo mepesi kama haya kweli! Hii western education bado tatizo kwetu
yap, kwamfano super computer ya china, latest imekaribiana sana na ubongo katika speedHuman brain ni zaidi ila speed na memory naipa computer lakini inategemea chip
hapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake .Compyuta bila kuwa na software(au program) haina kazi yoyote.... unapoiwekea program kama windows(unavyoiprogram) ndio inapata jina au identity kutokana na program ulioipa....utaskia mtu akisema "compyuta yangu ina edit video" mwingine "my gaming pc"..."windows pc" na kadhalika....
Anaye program ubongo ni "wewe".....bila "wewe" ubongo wako ni sawa na hardware. Yani wewe ndio program/software ya ubongo wako.
huelewi hata unachozungumza weweMimi nilimuuliza huyo ambaye analinginisha kitu na mtu, akili yake japo amesoma Lakin anashindwa kuelewa mambo mepesi kama haya kweli! Hii western education bado tatizo kwetu
wewe ulieelimika shusha madini hapa acha maneno ya kwenye kangaMkuu nasikitika kusema mkuu ulienda shule kukalili sio kuelimika
tusaidiane kaka kumuelimisha huyu anaweza akazinduka alipo kama atakuwa tayariWala!!! Yuko sahihi kabisa...hata gari unaweza ukalilinganisha na binadam. Nistake kuleta falsafa na theolojia hapa...ila.
Programmer katengeneza program iwe na mfano au function kama za programmer, kwa iyo ile program ikioperate. Operation zake au product yake itatoka kwa formula iyo iyo...muonekano au functionality zitakuwa tofauti.
Mfano, muundo wa solar system una fanana na muundo wa atom moja. Japo functionality ni tofauti.
zipo scope ambazo ni exeption, na zipo scope unaweza ukazilinganisha na pia yapo maeneo ambayo computer inafanya vizuri kuzidi ubongo, jielimishe kijana achakuifumba akili yako na kujifanya mjuaji.Mkuu human brain is exceptionally hii haitaji mjadara huu ndio uhalisia huwezi ukafananisha na computer
ubaya zaidi yeye ndo anajiona anajua.Programmer anaeza akawa mnoma sana...ila akawa na kompyuta ya kiwango cha chini. Unachozungumzia ni "mtu"....ila hardware ya "brain" inaweza jadiliwa
hakuna kitu ambacho hakina limit kwenye hii dunia, acha ujinga wewe.Computer is programming to do a certain limited work according to the software installed in
hapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake . hivi. Unachoongelea wewe ni kama
Kabisa.. DNA...ni kama wiring ya kompyuta ilivyo. Unategemea kwamba ukiweka program yako kwenye kompyuta...itabehave kama kompyuta...na kutekeleza jukumu la hiyo program kulingana na maelekezo yako.hapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake .
You are not command the brain, it only itself mkuu
computer technology imeshafika huko mkuu.
ulivyozungumzia mambo ya western education , nilijua uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa.Mkuu hiyo akili iko sehemu ya ubongo so huwez kuitoa sasa sijui wewe unataka kuzungumza ni
bigup broh!!,Akili ni kama pumzi, haina sehemu maalum ilipo...huwezi kuishika au kuiona ukasema akili yangu hii hapa.
Ila
pua...inareceive pumzi
Macho...yanareceive mwanga
Masikio...yanareceive sauti
Ubongo....unareceive mawazo (impulse za akili)
Umeona kila kitu hapo kinachoonekana na kushikika kinapata maelekezo kutoka kwa kisichoonekana.
Nikienda sasa kwenye mada.
Kompyuta....inareceive data.
Data huwezi kuiona wala kuishika...wala kusema inakaa wapi exactly kwenye hardware. Yani ipo tu.
🤣🤣🤣 nakubali diplomasia yako.
Programed na nani??na kufanya nini?hata ubongo upo programmed pia
pitia comments vizuri utapata kitu
For now yeah brain ni superior lakini I doubt kama it will be the same, hata sasa kuna maeneo computer is better human brain... like trillions calculations per seconds human brain can't match that, of course human tumeipa hiyo computer huo uwezo lakini hapo ni kama teacher outperformed by his students"If computer made by human minds is just part of us "
Kama ilivyo maboresho yake yanategemea Ubongo.
Na Ubongo ubaki superior mbele ya devices zote.
Na wazidi kugandamizia kutoka kwenye research zao bila hvyo sidhani Kama wangekuwa na jeuri ya kushindanisha
.