pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #21
Kwahivyo ni uongo na mnaonewa?pingli-nywee sisi tumejilipia pesa za uchaguzi huu100%, hizo ni kelele za chura tuu.
Tanzania ni nchi huru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahivyo ni uongo na mnaonewa?pingli-nywee sisi tumejilipia pesa za uchaguzi huu100%, hizo ni kelele za chura tuu.
Tanzania ni nchi huru.
NASA walipokataa kwenda kwenye uchaguzi wa marudio wakidai tume huru mbona mlikataa mkaendelea kumpigia kura Uhuruto bila kuwepo upinzani?Utakaponiona hata siku moja nikiunga mkono ukikwaji wa haki za binadamu au dhulma za polisi dhidi ya raia nilaani. Iwe ni nchini Kenya kwa majirani au hata nje ya bara la Afrika. Unaona sifa kuamka asubuhi na mapema kuenda kupiga kura kwenye uchaguzi ambao refa amevalia jezi ya timu ambayo ipo uwanjani? Si huwa mnasema kwamba mzee wenu yupo ngangari na kwamba hakuna atakayemtisha kwenye uchaguzi? Sasa ubabe wote huo ni wa nini basi?
Hawawezi kutuonea bali wataendelea kusema uongo.Kwahivyo ni uongo na mnaonewa?
Jifinzeni siasa za ustaarabu, ona jinsi Tundu Lisu anavyofanya mikutano yake bila kisumbuliwa.Kwahivyo ni uongo na mnaonewa?
Walisema Tanzania Hospitali zimejaa wagonjwa wa Corona, kwamba maiti zimezagaa barabarani, ninyi wakenya mkaamini na mkatutenga, baadae ukweli ukadhihirika mkaturudisha katika orodha ya nchi ambazo ni salama, hata hili ukweli mtaujua muda sio mrefu.Kwahivyo ni uongo na mnaonewa?
Walisema Tanzania Hospitali zimejaa wagonjwa wa Corona na maiti zimezagaa barabarani, ninyi wakenya mkaamini na mkatutenga, baadae ukweli ukadhihirika mkaturudisha katika orodha ya nchi ambazo ni salama, hata hili ukweli mtaujua muda sio mrefu.
Hawawezi kutuonea bali wataendelea kusema uongo.Hao jamaa wanalipwa kwa kuisema vibaya Afrika, ili kuendeleza nadharia kuwa mwafrika hana ustaarabu. Tanzania imeonesha wazi kuwa hicho kitu siyo kweli. Hivyo wanatafuta kila watakalolipata kuichafua nchi.
Ashakum si matusi ila sina budi kukueleza kwamba uache upumbavu na ujinga. Ulipiga kura kwenye uchaguzi huo ndio ukaona kwamba upinzani haukuwepo kwenye kijikaratasi cha kupiga kura? Fanya risechi yako vizuri kabla ya kutupia pumba zako na hadithi za kujitungia. Sio unakariri kariri tu jombaa, hapa sio FB.NASA walipokataa kwenda kwenye uchaguzi wa marudio wakidai tume huru mbona mlikataa mkaendelea kumpigia kura Uhuruto bila kuwepo upinzani?
Mambo ya Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, Sheikh Ponda amekuwa mwanaharakati kwa miaka mingi. Anayo haki ya kusema anavyotaka ila nchi yetu ilikuwa kwenye hali tete sana.Hebu kuweni serious na muache longolongo zenu hizi. Link ya ripoti yenyewe ya HRW ipo hapo kwenye mada ya uzi huu. Ichambueni kwanza kwa umakini kabla ya kurukia kwenye comments. Taarifa zao wamezitoa kwa watanzania wenzenu, wahariri wa magazeti, wanaharakati, raia n.k, n.k. Yote ambayo wameyataja yanaweza yakadhibitishwa virahisi. Shekhe alikamatwa au hakukamatwa?
Wewe unawaza tu kuhusu kufungua uzi. Hapo ndio mwisho wa mawazo yako. Mimi nimeteswa na vitoa machozi mara kibao, nikala virungu na kuna siku nililala selo. Kisa haki za kibinadamu, uwazi na sanasana uhifadhi wa mazingira.Lini ulifungua thread kukemea unyanyasaji, police brutality mnaofanyiwa na polisi hapo kenya?
Kwahivyo ana haki ya kusema lolote isipokuwa kudai uchaguzi huru na wa haki? Nakuona unavobadilisha gia angani, mwanzo ulianza kwa kusema kwamba ni hujuma za mabeberu, sasa imekuwa ni hujuma za baadhi ya raia wenzako.Mambo ya Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, Sheikh Ponda amekuwa mwanaharakati kwa miaka mingi. Anayo haki ya kusema anavyotaka ila nchi yetu ilikuwa kwenye hali tete sana.
Haya mambo ya kubadilisha sheria au miongozo kama alivyosema, kwa sasa hayana tija. Sheikh ponda anaweza kuwa na nia njema kabisa kwa watanzania lakini kuna wale mafisi wasiolala wakitafuta kaupenyo cha kuiharibu nchi yetu, kwa kisingizio cha domokrasia na haki za binadamu. Tumeshaanza kujenga misingi ya kuinua uchumi na kuiziba ile mifereji iliyokuwa ikitunyonya, hatuwezi kurudi kule tulikotoka.
Mengi ya aliyoyasema kama huduma za jamii, teyari yameshafanywa katika awamu hii.
Nilisema hujuma inaweza kutokea ndani na nje. Ponda anaweza kusema kwa kusema tuu, halafu akaelewaka vibaya, taharuki ikitokea. Na hapo kuna watu watachukua upenyo huo kuharibu.Kwahivyo ana haki ya kusema lolote isipokuwa kudai uchaguzi huru na wa haki? Nakuona unavobadilisha gia angani, mwanzo ulianza kwa kusema kwamba ni hujuma za mabeberu, sasa imekuwa ni hujuma za baadhi ya raia wenzako.
Kwani kuhusu Corona taarifa walizipata wapi, ni kutoka kwa watanzania na vyombo hivyo hivyo vya habari, Kenya mlipotangaza kwamba watanzania 50 kwa siku moja wanafariki na maiti zimezagaa mitaani kwani taarifa mlikua mnazitoa wapi?Hebu kuweni serious na muache longolongo zenu hizi. Link ya ripoti yenyewe ya HRW ipo hapo kwenye mada ya uzi huu. Ichambueni kwanza kwa umakini kabla ya kurukia kwenye comments. Taarifa zao wamezitoa kwa watanzania wenzenu, wahariri wa magazeti, wanaharakati, raia n.k, n.k. Yote ambayo wameyataja yanaweza yakadhibitishwa virahisi. Shekhe alikamatwa au hakukamatwa?
Sawa, ulipigwa, lini ulifungua thread kukemea ya kwenu?Wewe unawaza tu kuhusu kufungua uzi. Hapo ndio mwisho wa mawazo yako. Mimi nimeteswa na vitoa machozi mara kibao, nikala virungu na kuna siku nililala selo. Kisa haki za kibinadamu, uwazi na sanasana uhifadhi wa mazingira.
Hahahaha, katika watu wenye upambavu katika DNA na ukabila uliokithiri hadi katika sperms ni wewe. Tatizo ninyi wakikuyu hamna akili, ninyi wakikuyu ni sawa na Boers wa Afrika kusini, hivi nchi ya watu 47M ninyi mnashikilia zaidi ya 60% ya nafasi zote serikalini, Kati ya marais 4 ninyi mnashikilia 3, ina maana hiyo Kenya ni ninyi Pelee?, wacheni ubaguzi waAshakum si matusi ila sina budi kukueleza kwamba uache upumbavu na ujinga. Ulipiga kura kwenye uchaguzi huo ndio ukaona kwamba upinzani haukuwepo kwenye kijikaratasi cha kupiga kura? Fanya risechi yako vizuri kabla ya kutupia pumba zako na hadithi za kujitungia. Sio unakariri kariri tu jombaa, hapa sio FB.
Tatizo lako wewe unaanzisha chokochoko bila kujiandaa mwisho mnaomba msamaha, hivi unajua kwanini Sheikh Ponda anakamatwa mara kwa mara?, huyo angekua Kenya mngempiga risasi na kumuua kama mlivyowauwa Abood Rogo na Makaburi, huku Tanzania Hakuna mambo ya kuuana ndio sababu anakamatwa na kupelekwa mahakamani, sababu za huyo kukamatwa wala sio huo uzindizi, hao ni Chadema wameweka hiyo ili kuichafua serikali. Aboud Rogo na Makaburi mliwapiga risasi na kuwauwa kinyama sana pamoja na kwamba kesi zao bado zilikua zinaendelea mahakamani.Kwahivyo ana haki ya kusema lolote isipokuwa kudai uchaguzi huru na wa haki? Nakuona unavobadilisha gia angani, mwanzo ulianza kwa kusema kwamba ni hujuma za mabeberu, sasa imekuwa ni hujuma za baadhi ya raia wenzako.
Swala hili unaliewewa kwa undani wake.Tatizo lako wewe unaanzisha chokochoko bila kujiandaa mwisho mnaomba msamaha, hivi unajua kwanini Sheikh Ponda anakamatwa mara kwa mara?, huyo angekua Kenya mngempiga risasi na kumuua kama mlivyowauwa Abood Rogo na Makaburi, huku Tanzania Hakuna mambo ya kuuana ndio sababu anakamatwa na kupelekwa mahakamani, sababu za huyo kukamatwa wala sio huo uzindizi, hao ni Chadema wameweka hiyo ili kuichafua serikali. Aboud Rogo na Makaburi mliwapiga risasi na kuwauwa kinyama sana pamoja na kwamba kesi zao bado zilikua zinaendelea mahakamani.
Na yule afisa wa IT wa uchaguzi walimuua kipindi cha uchaguzi kabisa na sababu ni kutokana na kupika matokeoTatizo lako wewe unaanzisha chokochoko bila kujiandaa mwisho mnaomba msamaha, hivi unajua kwanini Sheikh Ponda anakamatwa mara kwa mara?, huyo angekua Kenya mngempiga risasi na kumuua kama mlivyowauwa Abood Rogo na Makaburi, huku Tanzania Hakuna mambo ya kuuana ndio sababu anakamatwa na kupelekwa mahakamani, sababu za huyo kukamatwa wala sio huo uzindizi, hao ni Chadema wameweka hiyo ili kuichafua serikali. Aboud Rogo na Makaburi mliwapiga risasi na kuwauwa kinyama sana pamoja na kwamba kesi zao bado zilikua zinaendelea mahakamani.
Hakuna journalist Tanzania atachapwa kama mtoto mdogo, ikitokea basi huyo polisi atakiona cha moto. Kenya ni nchi ya hovyo Sana, nini hii?
Taja na ulete ushahidi wa wanahabari Tanzania waliouliwa zaidi ya Mwangosi 8 years black, polisi aliyehusika anatumikia kifungo cha miaka 15. Onyesha polisi yoyote Kenya aliyefungwa kwasababu ya kuua raia?Hao polisi wana mashtaka ya kujibu sahi kwa koti. Nyinyi huko mumeua wanahabari wengi.
TanzaniaTaja na ulete ushahidi wa wanahabari Tanzania waliouliwa zaidi ya Mwangosi 8 years black, polisi aliyehusika anatumikia kifungo cha miaka 15. Onyesha polisi yoyote Kenya aliyefungwa kwasababu ya kuua raia?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app