Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

Utakaponiona hata siku moja nikiunga mkono ukikwaji wa haki za binadamu au dhulma za polisi dhidi ya raia nilaani. Iwe ni nchini Kenya kwa majirani au hata nje ya bara la Afrika. Unaona sifa kuamka asubuhi na mapema kuenda kupiga kura kwenye uchaguzi ambao refa amevalia jezi ya timu ambayo ipo uwanjani? Si huwa mnasema kwamba mzee wenu yupo ngangari na kwamba hakuna atakayemtisha kwenye uchaguzi? Sasa ubabe wote huo ni wa nini basi?
NASA walipokataa kwenda kwenye uchaguzi wa marudio wakidai tume huru mbona mlikataa mkaendelea kumpigia kura Uhuruto bila kuwepo upinzani?
 
Kwahivyo ni uongo na mnaonewa?
Hawawezi kutuonea bali wataendelea kusema uongo.

Hao jamaa wanalipwa kwa kuisema vibaya Afrika, ili kuendeleza ile nadharia kuwa mwafrika au mtu mweusi hana ustaarabu. Tanzania imeonesha wazi kuwa hicho kitu siyo kweli. Hivyo wanatafuta kila watakalolipata kuichafua nchi.
 
Kwahivyo ni uongo na mnaonewa?
Walisema Tanzania Hospitali zimejaa wagonjwa wa Corona, kwamba maiti zimezagaa barabarani, ninyi wakenya mkaamini na mkatutenga, baadae ukweli ukadhihirika mkaturudisha katika orodha ya nchi ambazo ni salama, hata hili ukweli mtaujua muda sio mrefu.
 
Walisema Tanzania Hospitali zimejaa wagonjwa wa Corona na maiti zimezagaa barabarani, ninyi wakenya mkaamini na mkatutenga, baadae ukweli ukadhihirika mkaturudisha katika orodha ya nchi ambazo ni salama, hata hili ukweli mtaujua muda sio mrefu.
Hawawezi kutuonea bali wataendelea kusema uongo.Hao jamaa wanalipwa kwa kuisema vibaya Afrika, ili kuendeleza nadharia kuwa mwafrika hana ustaarabu. Tanzania imeonesha wazi kuwa hicho kitu siyo kweli. Hivyo wanatafuta kila watakalolipata kuichafua nchi.

Hebu kuweni serious na muache longolongo zenu hizi. Link ya ripoti yenyewe ya HRW ipo hapo kwenye mada ya uzi huu. Ichambueni kwanza kwa umakini kabla ya kurukia kwenye comments. Taarifa zao wamezitoa kwa watanzania wenzenu, wahariri wa magazeti, wanaharakati, raia n.k, n.k. Yote ambayo wameyataja yanaweza yakadhibitishwa virahisi. Shekhe alikamatwa au hakukamatwa?
 
NASA walipokataa kwenda kwenye uchaguzi wa marudio wakidai tume huru mbona mlikataa mkaendelea kumpigia kura Uhuruto bila kuwepo upinzani?
Ashakum si matusi ila sina budi kukueleza kwamba uache upumbavu na ujinga. Ulipiga kura kwenye uchaguzi huo ndio ukaona kwamba upinzani haukuwepo kwenye kijikaratasi cha kupiga kura? Fanya risechi yako vizuri kabla ya kutupia pumba zako na hadithi za kujitungia. Sio unakariri kariri tu jombaa, hapa sio FB.
 
Hebu kuweni serious na muache longolongo zenu hizi. Link ya ripoti yenyewe ya HRW ipo hapo kwenye mada ya uzi huu. Ichambueni kwanza kwa umakini kabla ya kurukia kwenye comments. Taarifa zao wamezitoa kwa watanzania wenzenu, wahariri wa magazeti, wanaharakati, raia n.k, n.k. Yote ambayo wameyataja yanaweza yakadhibitishwa virahisi. Shekhe alikamatwa au hakukamatwa?
Mambo ya Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, Sheikh Ponda amekuwa mwanaharakati kwa miaka mingi. Anayo haki ya kusema anavyotaka ila nchi yetu ilikuwa kwenye hali tete sana.

Haya mambo ya kubadilisha sheria au miongozo kama alivyosema, kwa sasa hayana tija. Sheikh ponda anaweza kuwa na nia njema kabisa kwa watanzania lakini kuna wale mafisi wasiolala wakitafuta kaupenyo cha kuiharibu nchi yetu, kwa kisingizio cha domokrasia na haki za binadamu. Tumeshaanza kujenga misingi ya kuinua uchumi na kuiziba ile mifereji iliyokuwa ikitunyonya, hatuwezi kurudi kule tulikotoka.

Mengi ya aliyoyasema kama huduma za jamii, teyari yameshafanywa katika awamu hii.
 
Lini ulifungua thread kukemea unyanyasaji, police brutality mnaofanyiwa na polisi hapo kenya?
Wewe unawaza tu kuhusu kufungua uzi. Hapo ndio mwisho wa mawazo yako. Mimi nimeteswa na vitoa machozi mara kibao, nikala virungu na kuna siku nililala selo. Kisa haki za kibinadamu, uwazi na sanasana uhifadhi wa mazingira.
 
Mambo ya Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, Sheikh Ponda amekuwa mwanaharakati kwa miaka mingi. Anayo haki ya kusema anavyotaka ila nchi yetu ilikuwa kwenye hali tete sana.

Haya mambo ya kubadilisha sheria au miongozo kama alivyosema, kwa sasa hayana tija. Sheikh ponda anaweza kuwa na nia njema kabisa kwa watanzania lakini kuna wale mafisi wasiolala wakitafuta kaupenyo cha kuiharibu nchi yetu, kwa kisingizio cha domokrasia na haki za binadamu. Tumeshaanza kujenga misingi ya kuinua uchumi na kuiziba ile mifereji iliyokuwa ikitunyonya, hatuwezi kurudi kule tulikotoka.

Mengi ya aliyoyasema kama huduma za jamii, teyari yameshafanywa katika awamu hii.
Kwahivyo ana haki ya kusema lolote isipokuwa kudai uchaguzi huru na wa haki? Nakuona unavobadilisha gia angani, mwanzo ulianza kwa kusema kwamba ni hujuma za mabeberu, sasa imekuwa ni hujuma za baadhi ya raia wenzako.
 
Nilisema hujuma inaweza kutokea ndani na nje. Ponda anaweza kusema kwa kusema tuu, halafu akaelewaka vibaya, taharuki ikitokea. Na hapo kuna watu watachukua upenyo huo kuharibu.
 
Hebu kuweni serious na muache longolongo zenu hizi. Link ya ripoti yenyewe ya HRW ipo hapo kwenye mada ya uzi huu. Ichambueni kwanza kwa umakini kabla ya kurukia kwenye comments. Taarifa zao wamezitoa kwa watanzania wenzenu, wahariri wa magazeti, wanaharakati, raia n.k, n.k. Yote ambayo wameyataja yanaweza yakadhibitishwa virahisi. Shekhe alikamatwa au hakukamatwa?
Kwani kuhusu Corona taarifa walizipata wapi, ni kutoka kwa watanzania na vyombo hivyo hivyo vya habari, Kenya mlipotangaza kwamba watanzania 50 kwa siku moja wanafariki na maiti zimezagaa mitaani kwani taarifa mlikua mnazitoa wapi?
 
Wewe unawaza tu kuhusu kufungua uzi. Hapo ndio mwisho wa mawazo yako. Mimi nimeteswa na vitoa machozi mara kibao, nikala virungu na kuna siku nililala selo. Kisa haki za kibinadamu, uwazi na sanasana uhifadhi wa mazingira.
Sawa, ulipigwa, lini ulifungua thread kukemea ya kwenu?
 
Ashakum si matusi ila sina budi kukueleza kwamba uache upumbavu na ujinga. Ulipiga kura kwenye uchaguzi huo ndio ukaona kwamba upinzani haukuwepo kwenye kijikaratasi cha kupiga kura? Fanya risechi yako vizuri kabla ya kutupia pumba zako na hadithi za kujitungia. Sio unakariri kariri tu jombaa, hapa sio FB.
Hahahaha, katika watu wenye upambavu katika DNA na ukabila uliokithiri hadi katika sperms ni wewe. Tatizo ninyi wakikuyu hamna akili, ninyi wakikuyu ni sawa na Boers wa Afrika kusini, hivi nchi ya watu 47M ninyi mnashikilia zaidi ya 60% ya nafasi zote serikalini, Kati ya marais 4 ninyi mnashikilia 3, ina maana hiyo Kenya ni ninyi Pelee?, wacheni ubaguzi wa

Back to point, hivi katika uchaguzi wa Kenya mwaka 2017, upinzani ulikua kati ya Jubilee chini ya Uhuru Kenyatta vs NASA chini ya Raila Odinga, katika uchaguzi wa marudio NASA walijitoa vikabaki vyama vidogo vidogo ambavyo vingi ni mapandikizi ya Jubilee, hapo utasema kuna upinzani?.

Tanzania ni kati ya CCM chini ya Magufuli vs Chadema chini ya Tundu Lisu, hivi Tundu Lisu akijitoa bado utasema kuna upinzani japo wapo wagombea wengine wa urais zaidi ya 9?.
 
Kwahivyo ana haki ya kusema lolote isipokuwa kudai uchaguzi huru na wa haki? Nakuona unavobadilisha gia angani, mwanzo ulianza kwa kusema kwamba ni hujuma za mabeberu, sasa imekuwa ni hujuma za baadhi ya raia wenzako.
Tatizo lako wewe unaanzisha chokochoko bila kujiandaa mwisho mnaomba msamaha, hivi unajua kwanini Sheikh Ponda anakamatwa mara kwa mara?, huyo angekua Kenya mngempiga risasi na kumuua kama mlivyowauwa Abood Rogo na Makaburi, huku Tanzania Hakuna mambo ya kuuana ndio sababu anakamatwa na kupelekwa mahakamani, sababu za huyo kukamatwa wala sio huo uzindizi, hao ni Chadema wameweka hiyo ili kuichafua serikali. Aboud Rogo na Makaburi mliwapiga risasi na kuwauwa kinyama sana pamoja na kwamba kesi zao bado zilikua zinaendelea mahakamani.
 
Swala hili unaliewewa kwa undani wake.
 
Na yule afisa wa IT wa uchaguzi walimuua kipindi cha uchaguzi kabisa na sababu ni kutokana na kupika matokeo
 
Hakuna journalist Tanzania atachapwa kama mtoto mdogo, ikitokea basi huyo polisi atakiona cha moto. Kenya ni nchi ya hovyo Sana, nini hii?

Hao polisi wana mashtaka ya kujibu sahi kwa koti. Nyinyi huko mumeua wanahabari wengi.
 
Taja na ulete ushahidi wa wanahabari Tanzania waliouliwa zaidi ya Mwangosi 8 years black, polisi aliyehusika anatumikia kifungo cha miaka 15. Onyesha polisi yoyote Kenya aliyefungwa kwasababu ya kuua raia?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania
Kweli hamjui nchi yenu wenyewe. Tafuta kesi ya Azory Gwanda aliyeuliwa na GOT. Tafuta #BringbackAzory.
Tafuta eric kabendera mwanahabari wa aliyeozea kwa jela kwa mwaka mzima bila mashtaka yoyote.
Tafuta polisi wakijisifu jinsi watapiga watu wa upinzani kama mbwa koko.

Kenya
Kenya imekuwa ikifunga polisi wengi kwa mauaji na kupiga watu ovyo ovyo kwanza hii wakati ya corona.
Kenya policeman charged with murder after curfew killing of teenager
6 cops to face murder, assault charges while enforcing curfew
Two Kenya police officers charged with murder after Garissa shooting
Senior Police Officer Charged with Murder in Kenya

Tuko nchi mbili tofauti sana.
 
Back
Top Bottom