Human Rights Watch: Morocco inawafunga Waandishi wa Habari ili kuwanyamazisha

Human Rights Watch: Morocco inawafunga Waandishi wa Habari ili kuwanyamazisha

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono

Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine, alifungwa jela kwa miaka 12, akituhumiwa kwa ubakaji na usafirishaji wa binadamu ambapo waandishi wote watatu wamekuwa wakikosoa Serikali

Hata hivyo Morocco imesisitiza kuwa mfumo wake wa haki ni huru na kwamba kesi hizo "hazina uhusiano wowote" na kazi ya waandishi wa habari
----

Morocco is imprisoning journalists after flawed trials on non-political charges in order to silence them, Human Rights Watch says. The New York-based group said two of the most prominent cases are those of Omar Radi and Soulaimane Raissouni, both sentenced this year on sexual abuse charges to at least five years in jail.

Another journalist, Taoufik Bouachrine, was jailed in 2018 for 12 years, accused of rape and people-trafficking. All three have been critical of the authorities, and have denied the charges against them.

Morocco has insisted that its justice system is independent and that the cases had "nothing to do" with the journalists' work.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom