Humbleness is pretend

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
19,644
Reaction score
40,546
Hakuna mtu yoyote mwenye pride duniani akamaliza maisha yake salama..
Its written in the all holly books.
Wahenga wamezungumza, methali za kiswahili zimesema "" Hakuna usalama kwa mtu mwenye pride""

Viburi vingine tunavyo vipotray kwenye nyumba zetu, kwenye familia zetu, kwenye jamii zetu. Their not for our safety.. is dangerous

Unyenyekevu sio upumbav u. Unyenyekevu sio kwamba utaonekana zobe. Actual mnyenyekevu anaonekana ana akili kuliko anayejifanya nunda.

Kwa sababu ukitanua mabega na kunyanyua masikio wenye akili wakikuona unakosea watanyamaza kimya watakuacha unatumbukia shimoni hutoshtuliwa

Lakini mnyenyekevu hatashtuliwa hata wakati ambako haoni .. humbleness is pretends..
Mnynyekevu ni kama mtu anaye igiza kipofu, ana pretend kama ni kipofu ili aone na kipofu mtu mwingine anaye kuonyesha atakuonyesha ata ambavyo ujaviona wakati unadhania unaona.

Unajua kuna wakati unadhania unaangalia kumbe huoni. Ushawahi kuona ile macho yapo wazi unatembea unaangalia lakini unasema hivi aaaah sikuona bana lakini ulikua unaangalia pale pale na directions ile ile mpaka aje akustue mtu mwingine oya kuna kitu hapa..

Maana ake nini...
Unyenyekevu unachokifanya kwenye maisha ya mtu, unamsaidia kumfungua macho mengine . Hvyo unyenyekevu ni jicho la tatu.

Wasalam........
DR Mambo Jambo
Vishu Mtata
 
Kabisa!
Unyenyekevu Huficha Makosa Yote na hata Mbaya Huonekana mwema..

Hata mpumbavu akiwa Mnyenyekevu Huonekana Na Hekima Na Busara..
Hili Ni somo Kubwa Sana sema Unyenyekevu Huenda Kinyume sana Na Kibuli
 
Kabisa!
Unyenyekevu Huficha Makosa Yote na hata Mbaya Huonekana mwema..

Hata mpumbavu akiwa Mnyenyekevu Huonekana Na Hekima Na Busara..
Hili Ni somo Kubwa Sana sema Unyenyekevu Huenda Kinyume sana Na Kibuli
Kwanini mkuu unasema uwenda kinyume na kiburi
 
Kwanini mkuu unasema uwenda kinyume na kiburi
KWa mfano unyenyekevu unaweza kuhusianisha na kujitambua kukubali mapungufu na kujua Mipaka yako..Yaani kujua Uwezo wangu mimi Unaishia hapa..Ila Kiburi Ni hali ya kujiinua kupita kiasi,kupuuza mapungufu yako na kujiona bora zaidi kuliko wengine, Yaani ile hali ya Kuona Huyu ataniambia Nini

Mnyenyekebu hushirikiana kwa heshima na watu wengine, akitambua michango yao na Kuamini kuwa Wote tuko sawa na kila mmoja ana umuhimu wake.

Ila mwenye Kiburi Yaani ni full kuwadharau wengine, kuona wanapungukiwa na Kitu au wanamapungufu na aanajiona yeye tu ndo.kakamilika na kila mara anajaribu kuwashinda katika kila hali.


Mnyenyekevu sio Mbinafsi hivyo Muda Mwingi Hukubali makosa Yake hata kama Hana Kosa ila kuna Shida anaona aking'ang'ani kujiona Mr Right ataharibu Uhusiano baina yao bhasi Hujivika Ukosaji na Kuomba Msamaha kwa ajili ya Mahusioano yaliyopo na yupo tayari kujifunza na kubadilika,

Bana mtu mwenye Kiburi yeye Hujiona Yuko sawa Siku zote Hakubali kama Amekosea Hata kama Amekosea Na wana misemo yao Niliteleza Tu, Shetani alinipitia Nimefanya sasa Unataka Nini hataki kujifunza na anaona yeye anajua Kila kitu na wengine hawajui..

Hizi ni chache ila zaidi ni Kujiona Haitaji kujifunza Choxhote kutoka kwa Yoyote
 
Safi sana mkuu hapa nimepata somo kubwa sana kutoka kwako mi naamini mtu ukiishi kwa principal hizo sizani kama kuna mtu utashindwa kukaa nae aiseee
 
DR Mambo Jambo mi hapa mtaani nakaa namna hiyo an inafikia kipindi mpaka watu wanakuletea vitu tu i dont know why..

Ila wengi wanasema ni mcheshi sana na nacheka na kila mtu.
Lakini kuna wengine wananichukia ila bado nafanya sioni chuki zao mimi napotezea salamu na bashasha kama zote yaani hapo najikuta napendwa na kila mtu .

Leo hii kuna dada angu wa hiyali akawa ananiambia ""mdogo angu huu mtaa mzito sana ila wewe kaa kwa amani yoyote atakaye jifanya kukugusa atakiona cha moto""

Sasa mtu anafikia kukukingia na hamjawa ndugu unazani ni jinsi gani anakukubali hii yote ni humbleness..

Ila kuna watu wengine ukienda na hizi issue za humbleness wenyewe wanakuoba mjinga mfan kuna antiel flan hv yaani yeye daah hata simwelewi sijui ndo ana elimu sana ila ni mtu ambaye kila unavoenda yeye anakupa za uso ukijishusha yeye anakuponda , ukijifanya unajua kila kitu anakuponda.
Ukijifanya mshamba uelewi ndo kabisa atakudharirisha an mpaka unasema huyu mtu mchawi nn
 
Ndo Huo ndo Utajiri mkubwa sana..
Sisi Kipindi tuko vijana Tukikuwa tukifundishwa Kuwa Raha ya Dunia ina mambo matatu!
Ya kwanza ni Afya
Ya Pili Uhai
Ya tatu Bahati ya Kupendwa na Watu..

Na huo Ndo utajiri mkubwa Duniani
 
Ndo Huo ndo Utajiri mkubwa sana..
Sisi Kipindi tuko vijana Tukikuwa tukifundishwa Kuwa Raha ya Dunia ina mambo matatu!
Ya kwanza ni Afya
Ya Pili Uhai
Ya tatu Bahati ya Kupendwa na Watu..

Na huo Ndo utajiri mkubwa Duniani
Basi mkuu mi kwahiyo tuu basi nishafanikisha mpaka kuna watu wanajua mybe natumia uchawi ila hapana ni natural tuu...

Utajiri wa afya hapo ndo kila siku napapambana kuwa mbali na hawa wadada maana

Lakini pia kuzingatia diet sana japo ni vyakula vyetu vya kimaskini lakini tuna maintain.

Sema mkuu hakuna kitu kigumu kama kuishi na watu hasa hizi nyumba za kupanga....
 
Mkuu pia unyenyekevu unaendana na ukimya ila pia ukimya una uhusiano wa damu na kiburi , kuna namna unyenyekevu una uhusiano wa kindugu na kiburi japo mama mmoja ila baba tofauti 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…