Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hakuna mtu yoyote mwenye pride duniani akamaliza maisha yake salama..
Its written in the all holly books.
Wahenga wamezungumza, methali za kiswahili zimesema "" Hakuna usalama kwa mtu mwenye pride""
Viburi vingine tunavyo vipotray kwenye nyumba zetu, kwenye familia zetu, kwenye jamii zetu. Their not for our safety.. is dangerous
Unyenyekevu sio upumbav u. Unyenyekevu sio kwamba utaonekana zobe. Actual mnyenyekevu anaonekana ana akili kuliko anayejifanya nunda.
Kwa sababu ukitanua mabega na kunyanyua masikio wenye akili wakikuona unakosea watanyamaza kimya watakuacha unatumbukia shimoni hutoshtuliwa
Lakini mnyenyekevu hatashtuliwa hata wakati ambako haoni .. humbleness is pretends..
Mnynyekevu ni kama mtu anaye igiza kipofu, ana pretend kama ni kipofu ili aone na kipofu mtu mwingine anaye kuonyesha atakuonyesha ata ambavyo ujaviona wakati unadhania unaona.
Unajua kuna wakati unadhania unaangalia kumbe huoni. Ushawahi kuona ile macho yapo wazi unatembea unaangalia lakini unasema hivi aaaah sikuona bana lakini ulikua unaangalia pale pale na directions ile ile mpaka aje akustue mtu mwingine oya kuna kitu hapa..
Maana ake nini...
Unyenyekevu unachokifanya kwenye maisha ya mtu, unamsaidia kumfungua macho mengine . Hvyo unyenyekevu ni jicho la tatu.
Wasalam........
DR Mambo Jambo
Vishu Mtata