Humbleness is pretend

ni kwel lakin zipo hali fulani ukimya unaweza kuendana na kiburi japo sio kila ukimya ni kiburi.
Upo sahih, mfano mtu mkimya kama amekosea/hapendi kitu fulani, ukiwa unamweleza anapiga kimya, kama hujui hulka zao utasema ni kiburi bt kumbe hawezi kujieleza na ukimya wake huo ni ishara ya samahani.
 
Siku hizi umeanza kua na viakili vya kuokoteza bwanamdogo, hizi busara unazitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…