Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
#21
Kipindi Cha Jiwe hayo anayoyataka Polepole yalikuwepo?? Watz ni wepesi mno kugeuzwa geuzwa kama kitumbuaamesema hivyo vyama anavyoshindana navyo hakuna anayejuwa ndani ya ccm ni vyama vya kazi maalumu akimaanisha ni ccm B na CCM C kwa maana hiyo pale hakuna mshindani anayeshindana na Samia isipokuwa ni kuaminisha dunia kuwa tuna upinzani 😁😁😁yani kodi zetu zinaenda kuteketezwa kwa uchaguzi ambao haupo mimi naona wajiapishe tu
Hivi kwaan lazima kuwe na upinzani? Mbona China hawana vyama pinzani na wanasonga mbele kwa kasi.amesema hivyo vyama anavyoshindana navyo hakuna anayejuwa ndani ya ccm ni vyama vya kazi maalumu akimaanisha ni ccm B na CCM C kwa maana hiyo pale hakuna mshindani anayeshindana na Samia isipokuwa ni kuaminisha dunia kuwa tuna upinzani 😁😁😁yani kodi zetu zinaenda kuteketezwa kwa uchaguzi ambao haupo mimi naona wajiapishe tu
Huna akili. Haya mazito waachie wenye AKILIKwahiyo shida yake ni Samia tu na sio aina washindani alionao kama anavyojitahidi kujinafiki? Akija mwingine tofauti na Samia ni sawa ashindane tu na hao kina mpina na SALUMU mwalimu? Chuki zikizodi akili na busara huondoka. Ajie tu kuwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, ameshachukia fomu tena live kabisa Ili hako kapolepole na kakundi kake ka nyumbu wachache kutoka chadema waone na wafanye hiko walichopanga kufanya kama Wana uwezo huo.........shwaiiiiin!!
Jambo la kupendeza ni kuwa mama kawakaushia tu, anaendelea na mambo yake ya kujenga nchi. Kimbaumbau kimeachwa kiropokeeee kinavyoweza; muda si mrefu kitaanza umbea itamuishia ataanza kurudia alikotoka. Kifupi, clips zake ni nzuri kwa wasio na mipango na wajinga.
China mafisadi na wezi wa mali za Umma wanafanywaje unajua sheria za China kuhusu wizi wa pesa za Umma?Hivi kwaan lazima kuwe na upinzani? Mbona China hawana vyama pinzani na wanasonga mbele kwa kasi.
Sijui kwanini wapuuzi mnashindwaga kuficha upuuzi wenu. Haya tuambie, kinachozuia Tanzania isisonge mbele kwa kasi ni nini!?Hivi kwaan lazima kuwe na upinzani? Mbona China hawana vyama pinzani na wanasonga mbele kwa kasi.
Kipindi cha JPM - kina polepole waliiba uchaguzi kuanzia Urais, Ubunge, Udiwani hadi Mitaa/Vijiji. Haikuwahi kutokea huko nyuma na walijenga precedent mbaya sana... leo Polepole anataka kuipenda CDM -How???? ACT ilikuwepo, na hivyo vyama vidogo vilikuwepo... kwa kuwa sisi tunafata upepo tutamuona Polepole ni Shujaa of which he is notKipindi Cha Jiwe hayo anayoyataka Polepole yalikuwepo?? Watz ni wepesi mno kugeuzwa geuzwa kama kitumbua
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti
HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu
Rais Sqmia umezingirwa na kundi la wana mtandao, kwa hakika kuelekea October 2025 hakuna uchaguzi.
- Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
- Kwa mara ya kwanza Mgombea wetu na mgombea mweza wa CCM wamejilazimisha kugombea nafasi hizo ..
- Mungu siyo wa kuchezea, tusikilize clip fupi ya Hotuba ya leo pale White House Dodoma, ngoja niwachezeshee clip alichozungumza mgombea urais Samia Hassan kwa kuwa leo tupo interactive (kuwashirikisha) ..
- Dr. Emmanuel Nchimbi maneno yake yanachambuliwa ktk clip hiyo fupi.. Humphrey Polepole anatafsiri walichuzungumza leo baada ya kuchukua fomu
- Wagombea wa CCM wameteleza ktk hotuba zao hasa maneno ya Dr. Emmanuel Nchimbi " nitakuwa msaidizi wako sitakuwa mshindani wako.."
- Maneno ya Dr. Nchimbi maneno hayo amelazimishwa aseme ...maana tunajua haiwezekani makamu kushindana na bosi wake ..
- Desturi ya Unyenyekevu ktk clip ya hotuba ya Dr. Nchimbi sikuiona ...
- Nimefanya kazi na Dr. Shein na makamu wengine sikuwahi kuona maneno ya kama leo ..
- Dr. Omar Ali Juma ... pia sikuona anasema Polepole, sasa ushindani kati ya Samia na Nchimbi tuliyosikia inaishiria nini ...anahoji Polepole
- N.k
CCM kwenda kushindana na CHAUMMA chama cha mkobani (briefcase) kilichopaishwa kimkakati , mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe amepata wapi pesa za kuzungukal nchi nzima.
Mimi kama mwanamkakati mzoefu wa CCM leo Dodoma kulikuwa hakuna hamasa, shauku ya kumuona mgombea wa urais leo Dodoma haikuwepo...
Samia Hassan kushindana na Salum Mwalimu, kweli CCM hii imeshuka viwango kwenda kujifanya wanaushindani wa urais na CHAUMMA . Hivi kweli kuna kitu gani wanaweza CCM kumkosoa kisera Salum Mwalimu ? Anahoji Humphrey Polepole..
Na ndiyo maana nimesema umuhimu wa kumwaga oil 🛢 CCM ije na mgombea urais mpya, badala ya ndugu Samia Suluhu Hassan ...
Mwanasheria msomi Albert Msando aliye mkuu wa wilaya ya Ubungo amekuja mtandaoni na kunihoji mimi (Polepole) ....
Watia nia wa urais CCM Kutimiza masharti ya INEC kutafuta wadhamini wakati mchakato ndani ya chama fomu haikuzungushwa nchi nzima ..utaleta mambo ..
Huyu si ndiye walipora ushindi wa CHADEMA 2015,2020 pia akashauri kua wagombea wa CHADEMA wote awajui kusoma na kuandika.. Au sio yeye?Pole pole , jana usiku kiukwel it was so crazy .
Ilikuwa raha sana ali play hadi nyimbo ya wahuni akiwa live .
Jamaa yupo vzr sana
Kasema Z Anto anatumika sio mpinzani halisi.
Kumjibu ni kupoteza muda tuAjibiwe Sasa. Asiachwe bila kujibiwa Ili watanganyika waupime ukweli na uongo wake
Minong’ono ilizidi sana kuwa Mbrazili ni mshindani na wala si msaidizi . Sina uhakika kama ni kwa hiari au kwa kulazimishwa, Mbrazili amaweka assurance hadharani kuwa yeye ni msaidizi na wala si mshindani wake.
Wahuni mwaka huu wanashughuli.
Ajibiwe Sasa. Asiachwe bila kujibiwa Ili watanganyika waupime ukweli na uongo wake
Kavurugwa kajamaa kiroboto. Ni kumuonea huruma tu.Kwahiyo shida yake ni Samia tu na sio aina washindani alionao kama anavyojitahidi kujinafiki? Akija mwingine tofauti na Samia ni sawa ashindane tu na hao kina mpina na SALUMU mwalimu? Chuki zikizodi akili na busara huondoka. Ajie tu kuwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, ameshachukia fomu tena live kabisa Ili hako kapolepole na kakundi kake ka nyumbu wachache kutoka chadema waone na wafanye hiko walichopanga kufanya kama Wana uwezo huo.........shwaiiiiin!!
Jambo la kupendeza ni kuwa mama kawakaushia tu, anaendelea na mambo yake ya kujenga nchi. Kimbaumbau kimeachwa kiropokeeee kinavyoweza; muda si mrefu kitaanza umbea itamuishia ataanza kurudia alikotoka. Kifupi, clips zake ni nzuri kwa wasio na mipango na wajinga.
2015 -2020 haijaporwa uchaguzi Ila 2019-2020-2024Huyu si ndiye walipora ushindi wa CHADEMA 2015,2020 pia akashauri kua wagombea wa CHADEMA wote awajui kusoma na kuandika.. Au sio yeye?
Jifunzeni kuhama.Kipindi Cha Jiwe hayo anayoyataka Polepole yalikuwepo?? Watz ni wepesi mno kugeuzwa geuzwa kama kitumbua