HayaOctober uchaguzi haupo
HayaOctober uchaguzi haupo
Nikukuuliza swali nitaona nimekukosea mkuu ila kweli unashindwa kumuelewa kabisa Polepole au mapenzi ya uchawa ndio yanakufanya usimuelewe Polepole?Kwahiyo shida yake ni Samia tu na sio aina washindani alionao kama anavyojitahidi kujinafiki? Akija mwingine tofauti na Samia ni sawa ashindane tu na hao kina mpina na SALUMU mwalimu? Chuki zikizodi akili na busara huondoka. Ajie tu kuwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, ameshachukia fomu tena live kabisa Ili hako kapolepole na kakundi kake ka nyumbu wachache kutoka chadema waone na wafanye hiko walichopanga kufanya kama Wana uwezo huo.........shwaiiiiin!!
Jambo la kupendeza ni kuwa mama kawakaushia tu, anaendelea na mambo yake ya kujenga nchi. Kimbaumbau kimeachwa kiropokeeee kinavyoweza; muda si mrefu kitaanza umbea itamuishia ataanza kurudia alikotoka. Kifupi, clips zake ni nzuri kwa wasio na mipango na wajinga.
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti
HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu
Rais Sqmia umezingirwa na kundi la wana mtandao, kwa hakika kuelekea October 2025 hakuna uchaguzi.
- Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
- Kwa mara ya kwanza Mgombea wetu na mgombea mweza wa CCM wamejilazimisha kugombea nafasi hizo ..
- Mungu siyo wa kuchezea, tusikilize clip fupi ya Hotuba ya leo pale White House Dodoma, ngoja niwachezeshee clip alichozungumza mgombea urais Samia Hassan kwa kuwa leo tupo interactive (kuwashirikisha) ..
- Dr. Emmanuel Nchimbi maneno yake yanachambuliwa ktk clip hiyo fupi.. Humphrey Polepole anatafsiri walichuzungumza leo baada ya kuchukua fomu
- Wagombea wa CCM wameteleza ktk hotuba zao hasa maneno ya Dr. Emmanuel Nchimbi " nitakuwa msaidizi wako sitakuwa mshindani wako.."
- Maneno ya Dr. Nchimbi maneno hayo amelazimishwa aseme ...maana tunajua haiwezekani makamu kushindana na bosi wake ..
- Desturi ya Unyenyekevu ktk clip ya hotuba ya Dr. Nchimbi sikuiona ...
- Nimefanya kazi na Dr. Shein na makamu wengine sikuwahi kuona maneno ya kama leo ..
- Dr. Omar Ali Juma ... pia sikuona anasema Polepole, sasa ushindani kati ya Samia na Nchimbi tuliyosikia inaishiria nini ...anahoji Polepole
- N.k
CCM kwenda kushindana na CHAUMMA chama cha mkobani (briefcase) kilichopaishwa kimkakati , mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe amepata wapi pesa za kuzungukal nchi nzima.
Mimi kama mwanamkakati mzoefu wa CCM leo Dodoma kulikuwa hakuna hamasa, shauku ya kumuona mgombea wa urais leo Dodoma haikuwepo...
Samia Hassan kushindana na Salum Mwalimu, kweli CCM hii imeshuka viwango kwenda kujifanya wanaushindani wa urais na CHAUMMA . Hivi kweli kuna kitu gani wanaweza CCM kumkosoa kisera Salum Mwalimu ? Anahoji Humphrey Polepole..
Na ndiyo maana nimesema umuhimu wa kumwaga oil 🛢 CCM ije na mgombea urais mpya, badala ya ndugu Samia Suluhu Hassan ...
Mwanasheria msomi Albert Msando aliye mkuu wa wilaya ya Ubungo amekuja mtandaoni na kunihoji mimi (Polepole) ....
Watia nia wa urais CCM Kutimiza masharti ya INEC kutafuta wadhamini wakati mchakato ndani ya chama fomu haikuzungushwa nchi nzima ..utaleta mambo ..

Press zimekua maongezi tu, ilitakiwa ziwe kama za gwajima..... Press moja moto unawaka hadi kesho.Mimi binafsi napenda harakati, lakini niwe mkweli
Sijaona harakati youote kwa polepole, Hakuna anachosema ambacho kinaweza kuwa kimewashtua watawala hata kidogo
Gwajima aliongea Mara moja tu na huko juu vikao vikakaliwa lakini polepole ameshaongea zaidi ya mara kumi hakuna impact yoyote
Polepole alikuwa sehemu ya uongozi anajua mengi Atayarishe mazungumzo ya maana yenye tija bila mafumbo aweke data na ushahidi mezani nchi itatikisika
Lakini anachofanya sasa hata wasikilizaji wake washamchoka
Wanataka kubadili hadi kauli ya Nchimbi 😃Minong’ono ilizidi sana kuwa Mbrazili ni mshindani na wala si msaidizi . Sina uhakika kama ni kwa hiari au kwa kulazimishwa, Mbrazili amaweka assurance hadharani kuwa yeye ni msaidizi na wala si mshindani wake.
Wahuni mwaka huu wanashughuli.
Leo hii eti amekuja kwetu CHADEMA aiseee yaani2015 -2020 haijaporwa uchaguzi Ila 2019-2020-2024
Umeelezea vizuriKwahiyo shida yake ni Samia tu na sio aina washindani alionao kama anavyojitahidi kujinafiki? Akija mwingine tofauti na Samia ni sawa ashindane tu na hao kina mpina na SALUMU mwalimu? Chuki zikizodi akili na busara huondoka. Ajie tu kuwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, ameshachukia fomu tena live kabisa Ili hako kapolepole na kakundi kake ka nyumbu wachache kutoka chadema waone na wafanye hiko walichopanga kufanya kama Wana uwezo huo.........shwaiiiiin!!
Jambo la kupendeza ni kuwa mama kawakaushia tu, anaendelea na mambo yake ya kujenga nchi. Kimbaumbau kimeachwa kiropokeeee kinavyoweza; muda si mrefu kitaanza umbea itamuishia ataanza kurudia alikotoka. Kifupi, clips zake ni nzuri kwa wasio na mipango na wajinga.
Nchi inaenda kuingia hasara kwa sababu ya mtu kulinda cheo;
1. Kutengwa kimataifa
2. Kukosa misaada
3. Kukosa mikopo,
4. Kukosa uwekezaji wa Moja kwa Moja kutoka nje ya nchi (DFI)
5. Na kadharika
Huelewi wewe maamuma wa kiislam, kama umeshindwa kuelewa hoja ya polepole basi ulitakiwa uolewe tu uwe mke wa mtu kazi yako kuu iwe kumkatia uno bwana ako tu.Kwahiyo shida yake ni Samia tu na sio aina washindani alionao kama anavyojitahidi kujinafiki? Akija mwingine tofauti na Samia ni sawa ashindane tu na hao kina mpina na SALUMU mwalimu? Chuki zikizodi akili na busara huondoka. Ajie tu kuwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, ameshachukia fomu tena live kabisa Ili hako kapolepole na kakundi kake ka nyumbu wachache kutoka chadema waone na wafanye hiko walichopanga kufanya kama Wana uwezo huo.........shwaiiiiin!!
Jambo la kupendeza ni kuwa mama kawakaushia tu, anaendelea na mambo yake ya kujenga nchi. Kimbaumbau kimeachwa kiropokeeee kinavyoweza; muda si mrefu kitaanza umbea itamuishia ataanza kurudia alikotoka. Kifupi, clips zake ni nzuri kwa wasio na mipango na wajinga.
Nakuunga mkonoMimi binafsi napenda harakati, lakini niwe mkweli
Sijaona harakati youote kwa polepole, Hakuna anachosema ambacho kinaweza kuwa kimewashtua watawala hata kidogo
Gwajima aliongea Mara moja tu na huko juu vikao vikakaliwa lakini polepole ameshaongea zaidi ya mara kumi hakuna impact yoyote
Polepole alikuwa sehemu ya uongozi anajua mengi Atayarishe mazungumzo ya maana yenye tija bila mafumbo aweke data na ushahidi mezani nchi itatikisika
Lakini anachofanya sasa hata wasikilizaji wake washamchoka
Kinavhosubiriwa ni October kutiki kwanza ili pembeni saidizi iwe na kibali cha kuwa promoted kuwa pembe kuu baada ya msuguano utakaoiua pembe kuuProphet Edmund kwenye prophecies zake juzi amesema anaona pembe kuu ikisuguana au kupingana na pembe saidizi na kupelekea makubaliano yote yalifanyika Dodoma kuvunjika
Polepole anazungumza kwa "code" sio ngumu kuziekewa ila kama unavyofahamu elimu yetu, wachache Sana wenye upeo wa kuelewa!Nikukuuliza swali nitaona nimekukosea mkuu ila kweli unashindwa kumuelewa kabisa Polepole au mapenzi ya uchawa ndio yanakufanya usimuelewe Polepole?
Kama anazungumza na waTanzania code hazina msaada.Polepole anazungumza kwa "code" sio ngumu kuziekewa ila kama unavyofahamu elimu yetu, wachache Sana wenye upeo wa kuelewa!
Kuna member mmoja hapa JF alisema ili kumuelewa Polepole weka uzingativu kwenye Yale ambayo "ameruka"