Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

Kipindi Cha Jiwe hayo anayoyataka Polepole yalikuwepo?? Watz ni wepesi mno kugeuzwa geuzwa kama kitumbua
 
Hivi kwaan lazima kuwe na upinzani? Mbona China hawana vyama pinzani na wanasonga mbele kwa kasi.
 
Huna akili. Haya mazito waachie wenye AKILI
 
Mimi binafsi napenda harakati, lakini niwe mkweli
Sijaona harakati youote kwa polepole, Hakuna anachosema ambacho kinaweza kuwa kimewashtua watawala hata kidogo

Gwajima aliongea Mara moja tu na huko juu vikao vikakaliwa lakini polepole ameshaongea zaidi ya mara kumi hakuna impact yoyote

Polepole alikuwa sehemu ya uongozi anajua mengi Atayarishe mazungumzo ya maana yenye tija bila mafumbo aweke data na ushahidi mezani nchi itatikisika

Lakini anachofanya sasa hata wasikilizaji wake washamchoka
 
Hivi kwaan lazima kuwe na upinzani? Mbona China hawana vyama pinzani na wanasonga mbele kwa kasi.
China mafisadi na wezi wa mali za Umma wanafanywaje unajua sheria za China kuhusu wizi wa pesa za Umma?
 
Hivi kwaan lazima kuwe na upinzani? Mbona China hawana vyama pinzani na wanasonga mbele kwa kasi.
Sijui kwanini wapuuzi mnashindwaga kuficha upuuzi wenu. Haya tuambie, kinachozuia Tanzania isisonge mbele kwa kasi ni nini!?
 
Kipindi Cha Jiwe hayo anayoyataka Polepole yalikuwepo?? Watz ni wepesi mno kugeuzwa geuzwa kama kitumbua
Kipindi cha JPM - kina polepole waliiba uchaguzi kuanzia Urais, Ubunge, Udiwani hadi Mitaa/Vijiji. Haikuwahi kutokea huko nyuma na walijenga precedent mbaya sana... leo Polepole anataka kuipenda CDM -How???? ACT ilikuwepo, na hivyo vyama vidogo vilikuwepo... kwa kuwa sisi tunafata upepo tutamuona Polepole ni Shujaa of which he is not
 
Ufipa wanajifariji na Polepole kwa sasa Lissu tupa kule😂
 
Kuna mapigo hapo au porojo za kutapatapa?

Mwisho hili la maneno ya Nchimbi linafikirisha na mara kadhaa Huwa anakosea japo huenda yalikuwa yanamlemga mmjawapo wa watu ambae alikuwa analazimisha kuwa mshindani wa Rais.
 
Pole pole , jana usiku kiukwel it was so crazy .

Ilikuwa raha sana ali play hadi nyimbo ya wahuni akiwa live .

Jamaa yupo vzr sana

Kasema Z Anto anatumika sio mpinzani halisi.
Huyu si ndiye walipora ushindi wa CHADEMA 2015,2020 pia akashauri kua wagombea wa CHADEMA wote awajui kusoma na kuandika.. Au sio yeye?
 
Minong’ono ilizidi sana kuwa Mbrazili ni mshindani na wala si msaidizi . Sina uhakika kama ni kwa hiari au kwa kulazimishwa, Mbrazili amaweka assurance hadharani kuwa yeye ni msaidizi na wala si mshindani wake.

Wahuni mwaka huu wanashughuli.

Does it matter? Who can stop water flooding the city after heavy rains?
 
Ajibiwe Sasa. Asiachwe bila kujibiwa Ili watanganyika waupime ukweli na uongo wake


Kama zipo facts yes ajibiwe. Kusema eti ni mvamizi sio majibu. Yanathibitisha yale anayoyasema. Maana sio kila mtu anafanya kazi zake ndani ya dola kwa uwazi.

Watanzania wengi wanamchukulia serious.

Hoja ijibiwe kwa hoja. Hii ya sasa inatengeneza kitu. Mdharau mwiba huota tender...
 
Kavurugwa kajamaa kiroboto. Ni kumuonea huruma tu.
 
Huyu si ndiye walipora ushindi wa CHADEMA 2015,2020 pia akashauri kua wagombea wa CHADEMA wote awajui kusoma na kuandika.. Au sio yeye?
2015 -2020 haijaporwa uchaguzi Ila 2019-2020-2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…