Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

Nikukuuliza swali nitaona nimekukosea mkuu ila kweli unashindwa kumuelewa kabisa Polepole au mapenzi ya uchawa ndio yanakufanya usimuelewe Polepole?
 
Nimesikitika aliposema Chauma ni mpango wa kando wa CCM.
Hayo maneno ni ya kimtaani mno
 
Huyu kaachwa aongeee akichoka atanyamaza na maisha yanaendelea kama kawaida.
 
Kwa magu ilitoka form moja hukuongea haya...
Huyo salum Kwan hana hadhi?
Bhc ungechukua na ww hio form ya kugombea au mlete unayetaka agombee unaezani ana hadhi hio
 
Nchi inaenda kuingia hasara kwa sababu ya mtu kulinda cheo;

1. Kutengwa kimataifa

2. Kukosa misaada

3. Kukosa mikopo,

4. Kukosa uwekezaji wa Moja kwa Moja kutoka nje ya nchi (DFI)

5. Na kadharika
 
Press zimekua maongezi tu, ilitakiwa ziwe kama za gwajima..... Press moja moto unawaka hadi kesho.
 
Minong’ono ilizidi sana kuwa Mbrazili ni mshindani na wala si msaidizi . Sina uhakika kama ni kwa hiari au kwa kulazimishwa, Mbrazili amaweka assurance hadharani kuwa yeye ni msaidizi na wala si mshindani wake.

Wahuni mwaka huu wanashughuli.
Wanataka kubadili hadi kauli ya Nchimbi 😃
Pole pole anazid kujiaibisha ndio maana mpk saiv hakuna hta kiongozi mmoja wa chadema anayemsapoti huyo pole pole
 
Umeelezea vizuri
 
Unaotaaaa ww chiz kweli
🤣🤣🤣
Nchi haitengwi wala hakuna hasara huo mpasuko uko kwenu
Chadema imegawanyika Kila mtu anaona
Mbowe kaipa chadema umaarufu na kaifanya kua chama kikuu cha upinzan ila leo kaiacha 😃
Nchi inaenda kuingia hasara kwa sababu ya mtu kulinda cheo;

1. Kutengwa kimataifa

2. Kukosa misaada

3. Kukosa mikopo,

4. Kukosa uwekezaji wa Moja kwa Moja kutoka nje ya nchi (DFI)

5. Na kadharika
 
Ufipa wanashikiwa akili zao kweli Polepole anaweza kuzuia Samia asichuke fomu ya Urais?
 
Huelewi wewe maamuma wa kiislam, kama umeshindwa kuelewa hoja ya polepole basi ulitakiwa uolewe tu uwe mke wa mtu kazi yako kuu iwe kumkatia uno bwana ako tu.
 
You tube content hazifunguki. Kwa nin msingeweka video za kawaida.
 
Nakuunga mkono

Ndomana wengine tumeamua kuwa watazamaji 😄

Ova
 
Prophet Edmund kwenye prophecies zake juzi amesema anaona pembe kuu ikisuguana au kupingana na pembe saidizi na kupelekea makubaliano yote yalifanyika Dodoma kuvunjika
Kinavhosubiriwa ni October kutiki kwanza ili pembeni saidizi iwe na kibali cha kuwa promoted kuwa pembe kuu baada ya msuguano utakaoiua pembe kuu
 
Nikukuuliza swali nitaona nimekukosea mkuu ila kweli unashindwa kumuelewa kabisa Polepole au mapenzi ya uchawa ndio yanakufanya usimuelewe Polepole?
Polepole anazungumza kwa "code" sio ngumu kuziekewa ila kama unavyofahamu elimu yetu, wachache Sana wenye upeo wa kuelewa!

Kuna member mmoja hapa JF alisema ili kumuelewa Polepole weka uzingativu kwenye Yale ambayo "ameruka"
 
Polepole anazungumza kwa "code" sio ngumu kuziekewa ila kama unavyofahamu elimu yetu, wachache Sana wenye upeo wa kuelewa!

Kuna member mmoja hapa JF alisema ili kumuelewa Polepole weka uzingativu kwenye Yale ambayo "ameruka"
Kama anazungumza na waTanzania code hazina msaada.
Msambaa au Mgogo au Masai ukiweka hizo code atazielewa lini? Unless anaongea na kakikundi chake fulani anakokijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…