Humphrey Polepole andaa Suti

Humphrey Polepole andaa Suti

karibia nusu ya watanzania wote wanaukaribu na rwanda,burundi na uganda, wanaoitwa wanyamwezi sehemu kubwa walitokea uganda/rwanda ni museveni type, kagera kama yote bariadi na shy ndiyo usiseme kwa taarifa yako tu hata Mwalimu Nyerere asili yake ilikuwa ni hilo eneo na yeye ni hiyo unayoiita bahima empire ? hivyo sielewi unachomaanisha, we all came from somewhere, usisahau tanzagiza haiku exist kabla ya western Christians kuja hivyo hakuna mwenye hati miliki na wote waishio ndani ya hii mipaka wanastahili kuwepo …
Nielewe ninapokwambia mleta mada ni moja ya project ya Bahima Empire iliyopo ndani ya mifumo yetu kabisa.

Siongelei kufanana kwa makabila hapa.
 
Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,

Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi

Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka

Britanicca
Huyo mtu wako ni mjamaa hawezi endana na falsafa za Mama hatochukua mda mrefu
 
Nielewe ninapokwambia mleta mada ni moja ya project ya Bahima Empire iliyopo ndani ya mifumo yetu kabisa.

Siongelei kufanana kwa makabila hapa.

mlimsema Magufuli pia ni hiyo sijui bahima empire mbona alipokwa? isitoshe vp khs awamu ya 4 yenyewe siyo bahima kwa maana hakuna awamu iliyokuwa karibu na huko kama hiyo …
 
Makonda alipewa sumu Tena na mboGa pale Arusha hii haina Kificho naye alisema kwamba amepewa sumu Mara Tatu ! So Hakika Chaka hakuna pale
Ishu ilithibitishwa na kifo kabisa watu wakawa wanangoja taarifa tu......sumu kulishwa isingekua shida.....ila watu walihakikisha hadi umauti
 
Mnufaika ni Samia ila hao wengine labda watanufaika Kwa vyeo na sio Kisiasa maana watakuwa wanabukuzwa na kuhubiri wasiyoyapenda
Upepo unaenda kua tofauti........hakuna wa kuburuzwa safari hii uchumi kama mchina tu kibepari ila siasa bado za kijamaa
 
Upepo unaenda kua tofauti........hakuna wa kuburuzwa safari hii uchumi kama mchina tu kibepari ila siasa bado za kijamaa
Kama uchumi ni WA kibepari sawa tuu huko kwenye siasa hata mkiuana to me doesn't matter nachotaka uchumi uwe unaleta faida.

Msilete ujamaa kwenye Uchumi,ujaa wenu wekeni kwenye siasa muwe mnafariji na kuwapa matumaini maskini wasiojielewa.
 
Ndo hivyo mambo yataenda kama kwa mchina au Urusi watu wamejifunza,,,,njia za uchumi zitabadilika ila siasa itabaki vilevile
 
Back
Top Bottom