Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Aise uwezi amini yupo na Ben Saa nane WANAPIGA story wanacheka aise
Ila wote wanatamani wafe wakapige story na Mzee Magu hahahahah
JUMAPILI ya Leo Wana jf mniache nijimwaye mwayee salamu niwaleteeni kutoka kigamboni kwenye ghorofa la Makonda linaro tumika kuifadhia watekwa wote wa jamujuri ya nchi ya STANZA

TUIMBE TUIMBE TUGALE GALE
Lipo kigamboni maeneo Gani mkuu naweza kupatafuta ili niwapelekee CNN ili Dunia ijue Nini kinaendelea kigamboni
 
And you?
Unazidi kuonyesha kuwa unaumwa.
Mkuu,

Lucha haumwi Wala Hana tatizo la kisaikolojia. Huyo ni wale wanaume wapenda vya bure na mserrereko. Huyo alikuwa anaishi singida ila kwa sasa amepangiwa apartment maeneo ya ushuani huko na yule mtoto wa namba Moja na wanafanya michezo yao michafu kwenye hayo majumba. Wanaume wa hovyo!!

Haya yanayotokea anafurahia kwa sababu kwake anaona anaishi dream life. Lolote baya dhidi ya utawala maana yake atarudi singida kuchunga punda.

So,anachofanya ni kuwa upande wa ushetani na kuwapinga nyie mnaotetea haki.

Huyu siku tukipata uhuru ni wa kumalilizia kufunja hiyo spika iliyotobolewa
 
Back
Top Bottom